Joseph Kony yuko wapi?

Joseph Kony yuko wapi?

Konyi alikuwa akipata ufadhili wa serikali ya Sudan - Khartum chini ya Rais wao Omar al Bashir ambaye alikuwa akimpa misaada ya hali na mali. Hali hii ilipelekea USA kuwa na Uadui na Sudan maana waliona kama watu wa Kusini mwa Sudan wana madai ya haki ya kujipatia uhuru wao kutokana na manyanyaso waliyopata toka kwa watu wa Sudan Kaskazini.

Lengo la Sudan likiwa kumsumbua Mseven ambaye aliaminika anawasaidia waasi wa SPLA wa Sudan Kusini. Baada ya Sudan Kusini kupata Uhuru. Wafadhili wa Konyi yaani Serikali ya Khartum hawana kazi naye tena ndiyo maana wakamtosa na vita ikaisha na yeye katokomea huko Jamhuri ya Africa ya Kati au hata amefariki.

Marekani waliweka dau kwa kichwa cha Konyi sababu ya beef lao na Sudan hasa alipokuwa akimhifadhi Osama miaka ile ya 1990's
Umeeleza vizuri
 
Museven na mmareekani ndio wanajua super chawa wao alipo, mtu mwingine mwenye jibu la swali hili ni kagame
 
Habarini
Tafadhari changia unachojua kuhusu huyu mtu?

Kwa ufupi!
Wasiomjua Joseph kony ni kiongozi wa waasi wa LRA (Lord resistance army) nchini Uganda waliokua wakipgana na serikali ya Museveni Kasikazini mwa UGANDA.
Ni kati ya watu makatili zaidi.Pamoja na umoja wa mataifa kujalibu kumsaka bado hajawazeza kupatikana hadi leo!!
Tunaweza sema huyu jamaa kasumbua zaidi ya Osama bin Ladeni

Marekani ilishawai kutangaza donge nono kwa atakaefanikisha kukamatwa kwa Kony lakini wapi!!.


Swali ??
-Ni wapi alipo joseph kony?
-Nani walikua wanafadhili kikundi cha uasi cha Lord resistance army kilichoongozwa na Joseph kony?
-Je n maadui wa museven ndio wanaomhifadhi??
-Je wanaomfadhiri wanafaidika nn nae?? na kwann wakubali kukosana na umoja wa mataifa/Marekani kisa Kony??
-Je harakati zake za kumtoa Museven zilikua zinakubalika au kuwa supported na nchi nyingine za africa?

Tuambie: Unafikiria nini Ukisikia Joseph Kony
Kony ni kibaraka wa mseveni for sure hakuna muasi anae weza kuisumbua serikali Kwa miaka yote iyo kama Joseph kony....

So kony na museveni wanatuhadaa na kutupoteza maboyq...

Muasi wa Kweli ni Jonas savimbi...endelea kupumzika Kwa amani Jonas savimbi....
 
Yupo ila inasadikika umri umeanza mtupa mkono ila yuko na vijana wake msituni kama sijakosea mwaka juzi alionekana (alieusha video)yuko na vijana wake msituni wako vifua wazi wanakaanga maandazi
Wanakaanga maandazi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣,embu tupia hyo video mkuu
 
Back
Top Bottom