Joseph Kony yuko wapi?

Umeeleza vizuri
 
Museven na mmareekani ndio wanajua super chawa wao alipo, mtu mwingine mwenye jibu la swali hili ni kagame
 
Kony ni kibaraka wa mseveni for sure hakuna muasi anae weza kuisumbua serikali Kwa miaka yote iyo kama Joseph kony....

So kony na museveni wanatuhadaa na kutupoteza maboyq...

Muasi wa Kweli ni Jonas savimbi...endelea kupumzika Kwa amani Jonas savimbi....
 
Laurent Nkunda alikuwa General wa Jeshi la Rwanda. Baada ya kumaliza kazi yake DRC amerudi kwao Rwanda na ndiko aliko hadi leo
Mkuu hakurudi "kipenda roho", alirudi kwa kuswekwa ndani na Serikali ya Kagame.
 
Yupo ila inasadikika umri umeanza mtupa mkono ila yuko na vijana wake msituni kama sijakosea mwaka juzi alionekana (alieusha video)yuko na vijana wake msituni wako vifua wazi wanakaanga maandazi
Wanakaanga maandazi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣,embu tupia hyo video mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…