King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Umofia Kwenu,
Wadau kuna habari Le grande mupao suvereee mwonkozi Joseph Kusaga amehamia Abu Dhabi kwenye makazi mapya,anataka kufungua radio station huko huko na kupeleka king'amuzi chake! Big up J.Kusaga

Hiyo radio station labda itakuwa inasikilizwa na watu wa kinondoni.
tutake radhi wakazi wa Tanzania
Hiyo radio station labda itakuwa inasikilizwa na watu wa kinondoni.
tutake radhi wakazi wa Tanzania
Kamanda upo? Hivi inakuingia akinilini clouds media ifunguwe radio station Abu dhabi? Wasikilizaji ni kina nani?
Karibu mkuu nipo hapa uhuru peak nakula mema ya nchi na kukodolea macho watoto wakare!!
kama nakiona vile kile ki mama kiherehere a.k.a mama kijacho na li bwashehe lake muta... watavo jitawala kazi ipo wajameni
tutake radhi wakazi wa Tanzania