Joseph Kusaga ampa support Mbosso

Dah hivi alikosa jina la kimakua mpaka ajifanye mhindi mweusi?
Wewe mwenyewe unajifanya Ustaadh mwenye msimamo mkali wa dini! Halafu unajiita jina la Kimagharibi!! Tena linafanana na jina la Malkia!

Unakosea wapi Sheikh!! Wewe na huyo Mboso mna tofauti kweli!

Huoni mimi mwenzako! Tate Mkuu ni jina la Kisambaa! Likimaanisha Baba Mkubwa!
 
Huyo sio Ostaz wala Muislamu ni mtu wa upande wenu au atheist ..
 
Kweli, inabidi mimi na mbosso tuige mfano kutoka kwako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…