Mcqueenen
JF-Expert Member
- Nov 2, 2019
- 6,843
- 11,702
Angalia usije ukamkufuru mola wako kwa kumpakazia mja wakeHongera kwa kujisema mwenyewe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Angalia usije ukamkufuru mola wako kwa kumpakazia mja wakeHongera kwa kujisema mwenyewe.
Nakuja mpaka aya hiyo inkataza kuhisi mtu na kumpakaziaAngalia usije ukamkufuru mola wako kwa kumpakazia mja wake
Umeweka aya halafu ukaenda kinyume nayo hapohapo.Nakuja mpaka aya hiyo inkataza kuhisi mtu na kumpakaziaView attachment 2399456Ila nina uhakika 100% ninachosema ,wewe upo daraja la wanafiki usipotubu utakuwa kwenye moto mkali kabisa grade A motoni nafsi yako inatosha kuwa shahid ngoja niishie hapa nisiharibu nada ya watu.
Anachonipa mama yakoWewe jamaa WCB huwa wanakupa nini usiku?
Umeacha lini ukafiri ? nina uhakika ninachoongea najua ni dhambi kubwa kumuhusisha mtu na kitu ambacho hana.Tubu kama aya uliyoweka inavyotaka usije kufa halo ya kuwa mnafiki.Umeweka aya halafu ukaenda kinyume nayo hapohapo.
Tubu mkuu, mola wetu ni mwingi wa rehema (Al-Rahman)
5:39 lakini mwenye kutubia baada ya dhulma yake, na akatengenea, basi Mwenyezi Mungu atapokea toba yake. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye maghfira na Mwenye kurehemu. 39
Kabla ya yote, je, aina ya muziki anaoufanya, ni muziki unaowakilisha utamaduni wenu!? Wewe binafsi, aina yako ya uvaaji na ukataji nywele, unawakilisha hiko unachokiita utamaduni wenu!?Mi sio msanii, sio kioo cha jamii
Sasa kama wasanii wanaotuwakilisha wote wanausaliti utamaduni basi wanawakilisha nini?
Ndio tatizo lenu mashia...mnajifanya kama nyie ndio waislam pekee wengine wote makafir.Umeacha lini ukafiri ? nina uhakika ninachoongea najua ni dhambi kubwa kumuhusisha mtu na kitu ambacho hana.Tubu kama aya uliyoweka inavyotaka usije kufa halo ya kuwa mnafiki.
Everybody knows Mbosso anaimba kihindi, mabiti ya kihindi style za sharukhanKabla ya yote, je, aina ya muziki anaoufanya, ni muziki unaowakilisha utamaduni wenu!? Wewe binafsi, aina yako ya uvaaji na ukataji nywele, unawakilisha hiko unachokiita utamaduni wenu!?
Unafurahisha sana kijana ,mimi niko mbali sana na ushia.Ndio tatizo lenu mashia...mnajifanya kama nyie ndio waislam pekee wengine wote makafir.
Nakuhakikishia wewe huijui Quran wala sunnah za mtume hujazipitia.
Kuna mambo mengi ya dini hujui, ila unaendeshwa na kibri
Mola akuoneshe njia.
Mbosso anaimba kihindi!? Labda sijui kihindi cha kisasa ambacho maneno yake nayaelewa kwa kiswahili. Amapiano na aina nyingine za Kinaija nazo ni muziki wenu wa asili!? Muziki wa utamaduni wenu ni upi!? Nisaidee japo wasanii watatu na nyimbo zao za kitamaduni katika hii mnayoita bongoflava.Everybody knows Mbosso anaimba kihindi, mabiti ya kihindi style za sharukhan
Nywele zangu sio Sanaa na nikifa nazikwa nazo...ila mziki unaishi na mpaka wajukuu zetu watakuja kusikia jinsi mababu zao kina mbosso walivyouza utamaduni wetu na kuiga mambo ya kihindi ili wamake a quick buck.
Yy anatafuta ela sio kutunza utamaduni...kumbuka utamaduni bila ela ni sawa na uganga wa kienyejiDah hivi alikosa jina la kimakua mpaka ajifanye mhindi mweusi?
Diamond-KitorondoMbosso anaimba kihindi!? Labda sijui kihindi cha kisasa ambacho maneno yake nayaelewa kwa kiswahili. Amapiano na aina nyingine za Kinaija nazo ni muziki wenu wa asili!? Muziki wa utamaduni wenu ni upi!? Nisaidee japo wasanii watatu na nyimbo zao za kitamaduni katika hii mnayoita bongoflava.
Hela atazikwa nazo? Legacy muhimu mzee.Yy anatafuta ela sio kutunza utamaduni...kumbuka utamaduni bila ela ni sawa na uganga wa kienyeji
Hizi nazo ni nyimbo za kihindi tu kama kile cha Mbosso unachodai. Labda una tatizo na Mbosso.Diamond-Kitorondo
Rayvanny- kiuno
Killy-Ni wewe
Hiyo ya mondi inaitwa Mdogomdogo sio kitorondo nakurekebisha kijanaDiamond-Kitorondo
Rayvanny- kiuno
Killy-Ni wewe