Wakuu,
Ni wazi sasa kuwa Clouds ni tawi la CCM.
Akizungumza jana kwenye Mkurugenzi wa Clouds Media Joseph Kusaga, alisema kuwa kwenye Uchaguzi wao wanaenda na Mama.
Baada ya spana kuzidi naona wamefunga comments kwenye hiyo post ya Instagram
"
Huu ni mwaka tunakwenda kwenye uchaguzi na uchaguzi wetu tumeshasema mama ndiye Rais wetu. Mimi Sina Chama ndio maadili ya shughuli ninayofanya lakini mama amepewa nafasi ya kusema kwamba yeye ndiye atakayekuwa mgombea wetu rasmi"
View attachment 3268869