Joseph Kusaga: Sijaanzisha Wasafi Media

Wasafi mmiliki n mke wa kusaga, sasa yeye Adamu aanze kumuita kusaga hivyo imekuaje khaaaaah, hata hivyo hapo amepiga tyuuh chenga ya mwili, anahusika sana hapo.
Kitu ambacho mnajifanya hamkijui ni kuwa ile Wasafi hata kama majority shareholder ni mtu mwingine, Diamond ana sehemu nzuri tu ya hisa. Hao mnaowataja inawezekana wana 51% na kuendelea lakini Diamond ni mmoja wa wamiliki wakuu na ndio maana ana nguvu kubwa ya kufanya maamuzi. Msijitoe akili kwa sababu tu ya chuki ambazo haziwezi kuwapa faida yoyote. Yani Tale na Salam waweze kumiliki redio (Dizzim FM) halafu Diamond asiwe na huo uwezo? Acheni kujifanya hamuelewi mambo.
 
Ukweli n huu Mmiliki wa Wasafi n mke wa kusaga, huyo diamond ana hisa kias fulan palee, na pia n CEO, kuhusu maamuzi hana lazima asikilize kutoka kwa mmiliki wake, sina chuki na huyo mtu mie nimeeleza uhalisia.
 
Maamuzi yanatokana na wanahisa wote. Kuna kupigia kura kwa jambo ambalo halifikiwi mwafaka kwa pamoja.
Mwenye hisa nyingi ananufaika kupata mgao mkubwa wa faida inayopatikana, pia hupata hasara kubwa ikitokea biashara kuyumba ndio maana anakuwa mtu wa kulinda sana biashara isipate hasara.
 
Ukweli n huu Mmiliki wa Wasafi n mke wa kusaga, huyo diamond ana hisa kias fulan palee, na pia n CEO, kuhusu maamuzi hana lazima asikilize kutoka kwa mmiliki wake, sina chuki na huyo mtu mie nimeeleza uhalisia.

Kwanza lazima ujue kuwa brand ya wasafi ni ya mondi.

Kama mondi hana maamuzi,kwa nini show zake hupigwa pale live?kwa nini mambo yake hurushwa pale live mfano happy birthday ya dada yake?

Ukisema wasafi unamaanisha mondi.kuhusu hisa ni maswala ya biashara. Tofauti na hapo ni chuki tu. Hata Kiba anajua ndio maana haendi pale.
 
tafuta interview fulani ya Dj fetty ya hivi karibuni utajua akili ya mchomvu. in short alijamba ofisini huku akijua madirisha yamefungwa na hewa ni ndogo alafu akamsingizia mwanamke ndio kajamba (Dj fetty)
 
Hata kwenye mahojiano ya Salam Sk alisema mmiliki siyo kusaga share holder ni mke wake kusaga hivyo ni jambola kushangaza watu kung'ang'ania hili
 
Ukweli n huu Mmiliki wa Wasafi n mke wa kusaga, huyo diamond ana hisa kias fulan palee, na pia n CEO, kuhusu maamuzi hana lazima asikilize kutoka kwa mmiliki wake, sina chuki na huyo mtu mie nimeeleza uhalisia.
Diamond ana hisa ngapi na mke wa Kusaga anazo ngapi hebu nikumbushe
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] ahsante kwa elimu anko , wanazengo wana maneno mengi sana
 
tafuta interview fulani ya Dj fetty ya hivi karibuni utajua akili ya mchomvu. in short alijamba ofisini huku akijua madirisha yamefungwa na hewa ni ndogo alafu akamsingizia mwanamke ndio kajamba (Dj fetty)
[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
 
Ukweli n huu Mmiliki wa Wasafi n mke wa kusaga, huyo diamond ana hisa kias fulan palee, na pia n CEO, kuhusu maamuzi hana lazima asikilize kutoka kwa mmiliki wake, sina chuki na huyo mtu mie nimeeleza uhalisia.
Kuna wana mna hali ngumu hadi mnasikitisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…