Joseph Kusaga: Sijaanzisha Wasafi Media

Sasa hisa si ndo anaongoza 51% DIAMOND BABA YAKO.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ,ustake nivunjike mbavu, weee na data vizuri acha kukurupuka, hizo ulizozitaja ndio za mke wa kusaga.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ,ustake nivunjike mbavu, weee na data vizuri acha kukurupuka, hizo ulizozitaja ndio za mke wa kusaga.
Tatizo unanibishia mimi member kule ni board of directors among.
 
Unaniumiza unapoiponda sawa, hafu pole hainisaidii maana unazidi kuiponda tu daily.
Me siipondi WCB wala wahusika wake, but huwa nasema ukweli na uhalisia ambao ninyi hamtaki kuusikia, kwahiyo kuwa mpoleeeeeeh tyuuh, wee endelea kuwa fan wa WCB uhuru n wako.
 
100% umeongea fact kubwa me nashangaa hili swala share kwa diamond limekua tatizo lina waumizia watu vichwa.mbn mengi alikuwa shareholder Wa coca cola lakin they don't talk

Hebu tutajie Shareholders wenzake na Mengi pale Bonite ili tuwafahamu mkuu.
 
sizani kama adam ana chuki na diamond kwani nakumbuka hata baada ya clouds kuamua nyimbo za dimondi zisipigwe kwenye radio yao adam aliendelea kuwa na mahusiano mazuri na diamond nakumbuka hata kwenye birtday ya mond jamaa alimpost kwenye ukurasa wake wa intagram aka mu wish, labda kama walikuja kutofautiana baadae kwa mambo mengine. Cha pili adam kuuliza vile sizani kama ilikuwa kwa chuki ila i think alitaka jibu la kuuhakikishia umma kwamba nani hasa mmiliki
 
Wasafi mmiliki n mke wa kusaga, sasa yeye Adamu aanze kumuita kusaga hivyo imekuaje khaaaaah, hata hivyo hapo amepiga tyuuh chenga ya mwili, anahusika sana hapo.
Watu wa coca hatupendi ligi za ajabu namna hii. Kusaga mwenyewe anasema hahusiki na wasafi media ila wewe unajitahidi Ku twist mambo kummilikisha hii media Kusaga. Hii inakupa ahueni gani kisaikolojia? Haya mambo waachie wakulima wanywa Pepsi
 
Me siipondi WCB wala wahusika wake, but huwa nasema ukweli na uhalisia ambao ninyi hamtaki kuusikia, kwahiyo kuwa mpoleeeeeeh tyuuh, wee endelea kuwa fan wa WCB uhuru n wako.
Mkuu unatumia nguvu kubwa Sana kutuaminisha hewa , MBNA kusaga kasema hahusiki na wasafi may be Kuwa mshauri wakihitaj , au we ndo kusaga na mke wake......
 
watu wa arusha WENGI HUWA N wanafki na wana chuki na watu wenye mafanikio kuwazid wao
 
Hisa nyingi zitakua za domo mana yeye ndio trademark ya biashara hiyo,anastahili pongezi sana kwa kupiga hatua kubwa ameweza...kuna wengi wenye umri kumzidi yeye walipata pesa zikaishia kwenye vitu vya ajabu
 
Mkuu unatumia nguvu kubwa Sana kutuaminisha hewa , MBNA kusaga kasema hahusiki na wasafi may be Kuwa mshauri wakihitaj , au we ndo kusaga na mke wake......
Uwage unaelewa sio kukurupuka, wapi nimeaiminisha kusaga? Mie nimesema Wasafi mmiliki ni mke wa kusaga, sasa huo uhewa unatoka wapi? Afu nkuulize mke wa kusaga si ndio mweny hisa nyingi palee? Au wee hujui hilo? Khaaaaaah
 
Watu wa coca hatupendi ligi za ajabu namna hii. Kusaga mwenyewe anasema hahusiki na wasafi media ila wewe unajitahidi Ku twist mambo kummilikisha hii media Kusaga. Hii inakupa ahueni gani kisaikolojia? Haya mambo waachie wakulima wanywa Pepsi
Sijahusisha kusaga mie, na ndio maana mimeshangaa huyo Adamu kumuhusisha kusaga, anayehusika Wasafi n mke wa kusaga ambaye n mmiliki, hayo mengine ya coca na pepsi me hayanihusu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…