Joseph Kusaga: Sijaanzisha Wasafi Media

Joseph Kusaga: Sijaanzisha Wasafi Media

Uwage unaelewa sio kukurupuka, wapi nimeaiminisha kusaga? Mie nimesema Wasafi mmiliki ni mke wa kusaga, sasa huo uhewa unatoka wapi? Afu nkuulize mke wa kusaga si ndio mweny hisa nyingi palee? Au wee hujui hilo? Khaaaaaah
Je ukisema Wasafi unamaanisha na Label ya Wasafi ni mali ya madam Kusaga?, wabongo punguzeni wivu , kijana amepambana sana from zero to hero , naomba tumuheshimu his future is brighter mwaka jana katoka hapa Kigali kununuwa Nyumba za biashara, jama anaakili kubwa

Nauliza je jina la Wasafi nani kalianzisha

Diamond kwa level ambazo anafikia kwa sasa anaweza kuanzisha media kama kumi ao zaidi mfano wa Wasafi Media
 
Back
Top Bottom