Joseph Kusaga: Tamasha la Fiesta kufanyika Dar es Salaam Disemba, namiliki Redio zote za vijana

Joseph Kusaga: Tamasha la Fiesta kufanyika Dar es Salaam Disemba, namiliki Redio zote za vijana

KUSAGA ANAMILIKI REDIO ZOTE ZA VIJANA.

@josephkusaga ameeleza kwamba Clouds ndiyo Redio ya kwanza ya vijana, ndiyo redio iliyoanza kupiga muziki wa 'Bongo Fleva' na kuweka muelekeo wa ujana uliopo sasa kwenye media. Anasema wote waliokuja kuanzisha redio walifuata muelekeo wa Clouds wa namna moja na hilo linamfanya yeye kuwa mmiliki
.
"Namiliki Redio zote za vijana kwa namna moja au nyingine" Alisema Kusaga na kusema kwamba yeye anaamini kwenye ushirika (Partnership) na hivyi kuna biashara nyingi (pamoja na Redio) ataendelea kuzianzisha kwa kushirikiana na vijana kwa sababu hilo lilikuwa lengo la Clouds tangu zamani.
.
#Clouds19: Tunajivunia Kufungua Dunia.
Kataja Wasafi Radio,Jembe FM(Mwanza) na Safari Radio(Mtwara)
 
Back
Top Bottom