Acha uongo... Mbeya imependeza Kwa kigezo Gani!? Barabara ya jiji la UYOLE- MBALIZI HAIJAJENGWA MPAKA LEO, ETI NDO WANAANZA, TULIA AMEUA BARABARA YA IGAWILO - ISENYELA,- SWAYA - IYUNGA.. BARABARA YA MAKONTENA NA YA KUPANUA MJI UPANDE WA KUSINI KWANINI IMEAHIRISHWA KUJENGWA? BARABARA ZA MITAAA NI MBOVU SANA NA TULIA YUPO TANGU 2015. ANGALIA HUDUMA YA UMEME NANENANE.. ANGALIA HUDUMA YA BARABARA YA ISYESYE KUTOKA ILOMBA, TENA YEYE AMEJENGA HUKO LAKINI BARABARA IMEKUFA KABISA,..ANGALIA BARABARA YA PAMBOGO KWENDA IYELA..NI MBOVU SANA LAKINI NDO BARABARA YENYE TAASISI NYINGI SANA ZA KIELIMU,... HOSPITAL, PAMBOGO NA AIRPORT PRIMARY, MAGUFULI, OLD AIRPORT SEC.I YELAuongo mtupu sasa hivi mbeya yetu inamaendeleo kushinda kipindi chake alikuwa anacheza tu hivi mnajisifu kwa manufaa ya nani sijui wakati sugu alirudisha maendeleo ya watu nyuma sanaaa tulia mitano tena