Pre GE2025 Joseph Mbilinyi adai mbunge Tulia Ackson ameshindwa kuendeleza mazuri Mbeya

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
uongo mtupu sasa hivi mbeya yetu inamaendeleo kushinda kipindi chake alikuwa anacheza tu hivi mnajisifu kwa manufaa ya nani sijui wakati sugu alirudisha maendeleo ya watu nyuma sanaaa tulia mitano tena
Acha uongo... Mbeya imependeza Kwa kigezo Gani!? Barabara ya jiji la UYOLE- MBALIZI HAIJAJENGWA MPAKA LEO, ETI NDO WANAANZA, TULIA AMEUA BARABARA YA IGAWILO - ISENYELA,- SWAYA - IYUNGA.. BARABARA YA MAKONTENA NA YA KUPANUA MJI UPANDE WA KUSINI KWANINI IMEAHIRISHWA KUJENGWA? BARABARA ZA MITAAA NI MBOVU SANA NA TULIA YUPO TANGU 2015. ANGALIA HUDUMA YA UMEME NANENANE.. ANGALIA HUDUMA YA BARABARA YA ISYESYE KUTOKA ILOMBA, TENA YEYE AMEJENGA HUKO LAKINI BARABARA IMEKUFA KABISA,..ANGALIA BARABARA YA PAMBOGO KWENDA IYELA..NI MBOVU SANA LAKINI NDO BARABARA YENYE TAASISI NYINGI SANA ZA KIELIMU,... HOSPITAL, PAMBOGO NA AIRPORT PRIMARY, MAGUFULI, OLD AIRPORT SEC.I YELA
 
Wananchi wa Mbeya siyo wajinga wanajua kuchagua mchele na chuya. Wananchi wa Mbeya siyo vipofu hata wasiweze kuona Barbara zinazojengwa Kila kata ya Jiji la Mbeya. Njoo iwambi, itende, iganzo, ilemi, isanga, Ituha, mwanjelwa,Ruanda, iyela,
 
Wananchi wa Mbeya siyo wajinga wanajua kuchagua mchele na chuya. Wananchi wa Mbeya siyo vipofu hata wasiweze kuona Barbara zinazojengwa Kila kata ya Jiji la Mbeya. Njoo iwambi, itende, iganzo, ilemi, isanga, Ituha, mwanjelwa,Ruanda, iyela,
IYELA barabara ni moja tu
 
Labda tufananishe miaka mitano ya Tulia na 10 ya Sugu kimaendeleo. Maendeleo aliyofanya sugu na aliyofanya Tulia.
 
Wabunge bora bunge la 2015-2020
1.Sugu
2.Tundu lisu
3.Msigwa
4.Heche
5.Mbowe
6.Lema
7.Kishimba
8.Msukuma
9.
10.
 
Wabunge bora bunge la 2015-2020
1.Sugu
2.Tundu lisu
3.Msigwa
4.Heche
5.Mbowe
6.Lema
7.Kishimba
8.Msukuma
9.
10.
 
Mazuri aliyoyaanzisha Sugu ni yapi? Yaani miaka 10 yeye anaanzishaga tuu badala ya kuonesha alichofanya? 😆😆

Hilo ni kituko Kwa Chadema labda wawapate nyumbu wenzao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…