Mganguzi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2022
- 1,604
- 3,715
Huyu mtu Joseph Mbilinyi alikuwa mbunge na nusu. Chuma kweli kweli Mbeya ilikuwa nakidume haswaaaa!! Mimi sio chadema ila Sugu nilimuelewa sana! Hapa naona mbwembwe flani hivi za kizamani sana Kwa mbunge wa Sasa kugawagawa vitu.
Na kuwapa watu misaada ya fedha au pikipiki sio maendeleo tunayoyataka ! Labda ilibidi apewe kama zawadi ila Mimi naona hakuna kinachoendelea pale mbeya labda Ile foundation ya tulia trust.
Tujipambanue huyu mwamba arudi bungeni Kwa namna yoyote Ile sisi tunataka maendeleo sio zawadi za vibodaboda na vitenge au tsh. Hatuna hiyo njaa.