Kwani 2020 kulikuwa na uchaguzi??!aliyeharibu uchaguzi ndiye aliyekuwa anaamua nani awe mbunge!!ila tulipokuwa tunaelekea...hadi mzee warioba ana kili na uzee wake ule hakuwahi shuhudia uchafuzi kama ule, bora Mungu aliingilia kati tu!!na ndio maana licha ya matatizo yaliyopo kwa wananchi wao wametulia tu kama hawajui kinachoendelea, ila acha tupigike tu, kwani kambale si aliwaaminisha wananchi kuwa upinzani ndio unao chelewesha maendeleo.Wenye Jimbo wamependa hivyo vizawadi.
Mpango ulishafanyika akapewa Tulia. Sasa unataka mpango wa mando au mpango upi🤔🤔
Ni ubwege 😂😂Ndo maana mbeya hawalalamiki tozo 🤔🤔
Ili kuleta faida kwa wote ni vizuri viongozi wawekeze kusolve changamoto za jumla, na sio kugawa pesa.
Refer: Usimpe mtu samaki, mfundishe uvuvi.
Baba Nla
Tulia anazingua afu anajisikiaaaaa
Ni ubwege 😂😂
Kwani lazima wewe umuelewe?Huyu mtu Joseph Mbilinyi alikuwa mbunge na nusu. Chuma kweli kweli Mbeya ilikuwa nakidume haswaaaa!! Mimi sio chadema ila Sugu nilimuelewa sana! Hapa naona mbwembwe flani hivi za kizamani sana Kwa mbunge wa Sasa kugawagawa vitu.
Na kuwapa watu misaada ya fedha au pikipiki sio maendeleo tunayoyataka ! Labda ilibidi apewe kama zawadi ila Mimi naona hakuna kinachoendelea pale mbeya labda Ile foundation ya tulia trust.
Tujipambanue huyu mwamba arudi bungeni Kwa namna yoyote Ile sisi tunataka maendeleo sio zawadi za vibodaboda na vitenge au tsh. Hatuna hiyo njaa.