Pre GE2025 Joseph Mbilinyi: Ahsanteni sana Nyasa sikuwahi kufikiri Hip-hop itanifikisha hapa Kisiasa!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Mwenyekiti Mpya wa Chadema Kanda ya Nyasa mh Joseph Mbilinyi amewashukuru Wananchi Wote wa Kanda ya Nyasa na kusema " I never thought Hip hop would take me this far"

Salam za Shukrani amezitoa kupitia Ukurasani X

Pia soma Kuelekea 2025 - Joseph Mbilinyi (Sugu) ashinda uchaguzi Kanda ya Nyasa, amgaragaza Mchungaji Msigwa
Screenshot 2024-05-30 at 16-52-48 Joseph Mbilinyi (@TheRealJongwe) _ X.png

NB: Wasanii Chawa wa CCM jifunzeni kwa Sugu Moto Chini 😄🔥
 
Mwenyekiti Mpya wa Chadema Kanda ya Nyasa mh Joseph Mbilinyi amewashukuru Wananchi Wote wa Kanda ya Nyasa na kusema " I never thought Hip hop would take me this far"

Salam za Shukrani amezitoa kupitia Ukurasani X

NB: Wasanii Chawa wa CCM jifunzeni kwa Sugu Moto Chini 😄🔥
Do you expect any tangible leadership from Hip Hop?
 
Matokeo sawa, sina tatizo nayo, ila concern yangu ata deliver to meets expectations of voters from hip hop philosophy?
Yes, tumwombee Mungu. Mbeya alitufanyia vizuri pia huku atafanya uzuri zaidi
 
Do you expect any tangible leadership from Hip Hop?
Mkuu wanachama wameamua. Ndio demokrasia hiyo. Wapiga kura wana haki hata ya “kukosea” katika kuchagua.

Muhimu ni uamuzi wao. Na fursa za kurekebisha uamuzi wao kidemokrasia kupitia katiba ya chama zipo. Watazitumia.
 
demokrasia ya kuweka watu wa akina cecil mwambe, halafu useme una chama .

Hii ni fragle momnt maana bado samia ananunua wapinzani. watahimili billions of money?
 
Matokeo sawa, sina tatizo nayo, ila concern yangu ata deliver to meets expectations of voters from hip hop philosophy?
Sugu anaizungumza lugha ya wapiga kura kwa ustadi zaidi kuliko Msigwa.

Tukumbuke Sugu ndiyo mbunge anayeongoza kuchaguliwa kwa kura nyingi zaidi tangu vyama vingi virejeshwe.

Cha msingi ni kupunguza, mihemuko, mizuka na makundi
 
time will tell. Kungelikuwa na katiba mpya ambayo rais hana hela za kuhonga, si Mungu , basi let it be as it likes to be! lakini kwa hali ya sasa, sidhani akima mataka Adv watahimili billions of funds from "abdu"l
 
Sugu anaizungumza lugha ya wapiga kura kwa ustadi zaidi kuliko Msigwa.

Tukumbuke Sugu ndiyo mbunge anayeongoza kuchaguliwa kwa kura nyingi zaidi tangu vyama vingi virejeshwe.

Cha msingi ni kupunguza, mihemuko, mizuka na makundi
Sugu anaamini Katika Hip hop kuliko Siasa za Chadema
 
Back
Top Bottom