Pre GE2025 Joseph Mbilinyi: Ahsanteni sana Nyasa sikuwahi kufikiri Hip-hop itanifikisha hapa Kisiasa!

Pre GE2025 Joseph Mbilinyi: Ahsanteni sana Nyasa sikuwahi kufikiri Hip-hop itanifikisha hapa Kisiasa!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
demokrasia ya kuweka watu wa akina cecil mwambe, halafu useme una chama .

Hii ni fragle momnt maana bado samia ananunua wapinzani. watahimili billions of money?
Is there a better way? Kama chama kinajua mtu ni msaliti au mroho sana wa pesa basi ni jukumu lao (KK) kumuengua kwa kukosa vigezo vya uongozi. Cecil Mwambe hakuchaguliwa, nifahamuvyo.

Mgombea akishapitishwa kugombea, basi ni kura za wapiga kura tu ndizo huamua. Democracy must have its way.

Kama una tatizo na KK ya CHADEMA kumpitisha Sugu kugombea hilo linajadilika - kwa hoja.
 
Back
Top Bottom