johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Do you expect any tangible leadership from Hip Hop?Mwenyekiti Mpya wa Chadema Kanda ya Nyasa mh Joseph Mbilinyi amewashukuru Wananchi Wote wa Kanda ya Nyasa na kusema " I never thought Hip hop would take me this far"
Salam za Shukrani amezitoa kupitia Ukurasani X
NB: Wasanii Chawa wa CCM jifunzeni kwa Sugu Moto Chini 😄🔥
Mzee hujakubali matokeo?Do you expect any tangible leadership from Hip Hop?
Matokeo sawa, sina tatizo nayo, ila concern yangu ata deliver to meets expectations of voters from hip hop philosophy?Mzee hujakubali matokeo?
Mbona Mbowe anadeliver?Matokeo sawa, sina tatizo nayo, ila concern yangu ata deliver to meets expectations of voters from hip hop philosophy?
Unaamini Fedha za CCM hazijaamua mshindi Nyasa, Victoria na Magharibi?Sisiemu wameogopa sana huu Uchaguzi....wamejitahidi kupenyeza mamluki na fedha vyote VIMEGONGA MWAMBA
sasa wasubirie Motochini
Yes, tumwombee Mungu. Mbeya alitufanyia vizuri pia huku atafanya uzuri zaidiMatokeo sawa, sina tatizo nayo, ila concern yangu ata deliver to meets expectations of voters from hip hop philosophy?
Hao wanasiasa unaoona wewe wanafaa yupi aliyesoma political science?Matokeo sawa, sina tatizo nayo, ila concern yangu ata deliver to meets expectations of voters from hip hop philosophy?
Mkuu wanachama wameamua. Ndio demokrasia hiyo. Wapiga kura wana haki hata ya “kukosea” katika kuchagua.Do you expect any tangible leadership from Hip Hop?
Hujitambui!Matokeo sawa, sina tatizo nayo, ila concern yangu ata deliver to meets expectations of voters from hip hop philosophy?
Actually I expect more from Hip Hopper's than these current flip floppers and chawa's Binafsi takwambia Sugu wa Ni Wapi Tunakwenda huenda aligusa wengi kwa Ujumbe na alikuwa ana Uchu wa Mabadiliko kuliko hata Sugu wa leo....Do you expect any tangible leadership from Hip Hop?
Jibu swali? matusi si majibu, hip hop philosophy inaweza kuongoza nchi?Hujitambui!
demokrasia ya kuweka watu wa akina cecil mwambe, halafu useme una chama .Mkuu wanachama wameamua. Ndio demokrasia hiyo. Wapiga kura wana haki hata ya “kukosea” katika kuchagua.
Muhimu ni uamuzi wao. Na fursa za kurekebisha uamuzi wao kidemokrasia kupitia katiba ya chama zipo. Watazitumia.
Msigwa is a philosopher!Hao wanasiasa unaoona wewe wanafaa yupi aliyesoma political science?
Hivi zaidi ya kupepeta mdomo kwenye siasa kuna kipi cha ziada.
Sugu anaizungumza lugha ya wapiga kura kwa ustadi zaidi kuliko Msigwa.Matokeo sawa, sina tatizo nayo, ila concern yangu ata deliver to meets expectations of voters from hip hop philosophy?
time will tell. Kungelikuwa na katiba mpya ambayo rais hana hela za kuhonga, si Mungu , basi let it be as it likes to be! lakini kwa hali ya sasa, sidhani akima mataka Adv watahimili billions of funds from "abdu"lSugu anaizungumza lugha ya wapiga kura kwa ustadi zaidi kuliko Msigwa.
Tukumbuke Sugu ndiyo mbunge anayeongoza kuchaguliwa kwa kura nyingi zaidi tangu vyama vingi virejeshwe.
Cha msingi ni kupunguza, mihemuko, mizuka na makundi
Sugu anaamini Katika Hip hop kuliko Siasa za ChademaSugu anaizungumza lugha ya wapiga kura kwa ustadi zaidi kuliko Msigwa.
Tukumbuke Sugu ndiyo mbunge anayeongoza kuchaguliwa kwa kura nyingi zaidi tangu vyama vingi virejeshwe.
Cha msingi ni kupunguza, mihemuko, mizuka na makundi