Mbilinyi kanyea ndoo sana pale segerea mazee... Jasiri sana uyo jamaa,... Ila majuzi kuna mtz kaniuliza kama ukipaka meno rangi ya blue, hio ndio bluetooth?!
Sent using Jamii Forums mobile app
Alijiita hivyo kwa kuwa alipitia tabu nyingi kwenye fani ya muziki.hilo jina lake linamfaa 'SUGU'.
Segerea Prison iko Dar es salaam, na Sugu alifungwa kwenye gereza la kwao mkoa wa Mbeya.Mbilinyi kanyea ndoo sana pale segerea mazee... Jasiri sana uyo jamaa,... Ila majuzi kuna mtz kaniuliza kama ukipaka meno rangi ya blue, hio ndio bluetooth?!
Sent using Jamii Forums mobile app
vipi mkuu hujapata kamgao ka buku jero apoo lumumba au vipiii...aah mbowe ndo kajaxa ndoo nyngi sana apo segerea eeh?Segerea Prison iko Dar es salaam, na Sugu alifungwa kwenye gereza la kwao mkoa wa Mbeya.
Endelea kuwapiga fix manyang'au wenzako.
Sent using Jamii Forums mobile app
vipi mkuu hujapata kamgao ka buku jero apoo lumumba au vipiii...aah mbowe ndo kajaxa ndoo nyngi sana apo segerea eeh?
Eti kajaza ndoo nyingi sana? [emoji38]vipi mkuu hujapata kamgao ka buku jero apoo lumumba au vipiii...aah mbowe ndo kajaxa ndoo nyngi sana apo segerea eeh?
Katafute bwana shimo la Tewa.vipi mkuu hujapata kamgao ka buku jero apoo lumumba au vipiii...aah mbowe ndo kajaxa ndoo nyngi sana apo segerea eeh?