Joseph Mbilinyi aka SUGU

Joseph Mbilinyi aka SUGU

YoungD

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2016
Posts
1,275
Reaction score
1,332
katika pita pita zangu YouTube, ninekutana na hii video ya SUGU akiwa mbungeni. Sikujua kuwa huyu msanii wa enzi zile kajitumbukiza kwenye siasa- hongera zake.
Ila ukweli anaoongea pale, unawanyima usingizi jamaa wa kutembea na mikasi, hivi alishawapeleka basata kortini??

 
Anatema cheche hatari.....
Anachosema ni kweli, wafuasi wa CCM hulalamika kimy kimya lakini hadharani wanasifia.
Hata hawa wengi wanaokesha humu wakifisifia chama, mtaani utawakuta wamesota huku wakilaumu balaa.
 



Alijiita hivyo kwa kuwa alipitia tabu nyingi kwenye fani ya muziki.

bifu zake na Mr. Nice zilikuwa moto sana, lakini ni wazi kuwa huyu ana akili sana ya kujituma.
 
Back
Top Bottom