Joseph Mbilinyi arejesha Fomu ya kugombea Uenyekiti Kanda ya Nyasa, Asindikizwa na William Mungai

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Bwana Sugu ambaye ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema , leo Amerejesha fomu ya kuomba uenyekiti wa Kanda ya Nyasa.

Bilionea huyo amesindikizwa na Umati wa Matajiri wa Kanda hiyo kutoka Kyela, Mbeya yenyewe, Njombe na Iringa.

Hali ilikuwa hivi .

Screenshot_2024-04-20-21-44-54-1.png
Screenshot_2024-04-20-21-45-22-1.png
 
Naona matajiri wamepoa na macheni zao za bei ghali bila hofu mana hata wananchi wanaowazunguka nao ni matajiri hawana njaa ndogo ndogo
 
Bwana Sugu ambaye ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema , leo Amerejesha fomu ya kuomba uenyekiti wa Kanda ya Nyasa.

Bilionea huyo amesindikizwa na Umati wa Matajiri wa Kanda hiyo kutoka Kyela, Mbeya yenyewe, Njombe na Iringa.

Hali ilikuwa hivi .

Eti bilionea kwa kumiliki hotel ya vyumba nane ,jamani embu jaribuni kuacha utani,hivi unafikiri makelele yote ya kutaka kurudi bungeni ni kwa ajili ya nini?kwa kifupi ni kwa ajili ya ajira
 
William Mungai do ndg yake na Geofrey Mungai matajiri wa Iringa, wamiliki wa Real Estates na Mahoteli makubwa (Mount Royal Hotels), safi sana
 
Eti bilionea kwa kumiliki hotel ya vyumba nane ,jamani embu jaribuni kuacha utani,hivi unafikiri makelele yote ya kutaka kurudi bungeni ni kwa ajili ya nini?kwa kifupi ni kwa ajili ya ajira
Hujui kitu , Shut up !
 
Eti bilionea kwa kumiliki hotel ya vyumba nane ,jamani embu jaribuni kuacha utani,hivi unafikiri makelele yote ya kutaka kurudi bungeni ni kwa ajili ya nini?kwa kifupi ni kwa ajili ya ajira
Acha dharau we maskini, Sugu anaweza asiwe Bilionea lakini akawa tajiri vile vile.
 
Hiyo ni tiketi ya Peter Msigwa kuhama Chadema
Atahamia chama gani ccm hawawezi kumpokea kule wana Siasa za chuki...na kumbuka alishawai mwambia Yule mzee Kinana kwamba yeye ndio Jangiri Mkubwa anayeua Ndovu na Vifaru huko Mbugani.
 
Back
Top Bottom