Joseph Mbilinyi arejesha Fomu ya kugombea Uenyekiti Kanda ya Nyasa, Asindikizwa na William Mungai

Joseph Mbilinyi arejesha Fomu ya kugombea Uenyekiti Kanda ya Nyasa, Asindikizwa na William Mungai

Bwana Sugu ambaye ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema , leo Amerejesha fomu ya kuomba uenyekiti wa Kanda ya Nyasa.

Bilionea huyo amesindikizwa na Umati wa Matajiri wa Kanda hiyo kutoka Kyela, Mbeya yenyewe, Njombe na Iringa.

Hali ilikuwa hivi .

Hahaha mbona watu kiduchu hivi, yaani haka kachama hakana wafuasi kabisa
 
Eti bilionea kwa kumiliki hotel ya vyumba nane ,jamani embu jaribuni kuacha utani,hivi unafikiri makelele yote ya kutaka kurudi bungeni ni kwa ajili ya nini?kwa kifupi ni kwa ajili ya ajira
Ubunge ndio umemtoa Sugu, bila ya ubunge angekuwa lofa tu, pamoja na kubeba box huko Marekani alirudi lofa tu si ajabu amefanya siasa ajira.
 
Bwana Sugu ambaye ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema , leo Amerejesha fomu ya kuomba uenyekiti wa Kanda ya Nyasa.

Bilionea huyo amesindikizwa na Umati wa Matajiri wa Kanda hiyo kutoka Kyela, Mbeya yenyewe, Njombe na Iringa.

Hali ilikuwa hivi .

Sugu bana,awe tu mwenyekiti aiboreshe hotel yake kwa pesa na michango ya join the chain,Lema yeye hana mpinzani atazila sana na kaka yake Sultan mbowe,lissu amekataa rushwa za chadema ndio maana yu mbioni kutimkia ACT wazalendo.
 
Ubunge ndio umemtoa Sugu, bila ya ubunge angekuwa lofa tu, pamoja na kubeba box huko Marekani alirudi lofa tu si ajabu amefanya siasa ajira.
Sugu alikuwa anaokota makopo na kudeki barabara marekani aka akaiona fursa ya ruzuku chadema akageuka fasta,kweli kafanikiwa,mimi mwenyewe napiga boksi hapa Birmingham lakini nazimeki kimtindo,tatizo la sugu usela mwingi.
 
Chama kilicho hai ni lazima kuwe na mchuano mkali
 
Back
Top Bottom