Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Mwanasiasa Tajiri kuliko wote Mkoani Mbeya, Mwekezaji wa Kimataifa, Ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Nyasa, Bilionea Joseph Mbilinyi, Leo amefundisha habari za Uchaguzi ujao wa Serikali za Mitaa Mjini Uyole.
Mkutano huo wa Hadhara ulioandaliwa kwa muda wa saa 1 tu ulijaa watu ambao wamemhakikishia bwana Sugu kwamba Hana haja ya kusumbuka kutafuta kura za wenyeviti maana tayari ameeleweka, Huku Wanyakyusa wa Eneo hilo wakisema kwa lugha yao kwamba"UMALILE IMBOMBO" kwa tafsiri ya kiswahili ni kwamba "Umemaliza kazi"
Hii hapa ndio hali halisi