Joseph Mbilinyi Mbunge wa Mbeya Mjini, amuonya Bashiru Ally

Joseph Mbilinyi Mbunge wa Mbeya Mjini, amuonya Bashiru Ally

Bibi Tarabushi anatarajia kubebwa na nguvu za dola, kikwazo kikubwa kwake ni kwamba wana Mbeya wanajielewa sana. Na wala hawawezi kirahisi kubebwa mzobemzobe na upepo wa kisurisuri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Amemtahadharisha kwamba kwenye suala la Urais na Ubunge wa Mbeya Mjini wana Mbeya Mjini walishalifunga tangu mwaka 2010.
View attachment 1369517


 
Nasikia kuna ka miss Tanganyika kana taka kugombea kule.
 
Mbeya mjini kama ccm wasitipotegemea tume Na mapolis wanalia tena...
 
Kwa jinsi Mbeya walivyo wabishi endapo jamaa watalazimisha kumwondoa sugu basi tutegemee watu wengi sana kujeruhiwa, na kupewa kipigo cha mbwa mwizi
 
Hawa mbusi wa CCM utadhani kwenye kuna madjimbo ya ccm wanaishigi peponi

Don't make a promise you can't fulfill...
 
Back
Top Bottom