johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Yaani bado wanataka huruma ya SSH??Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Nyasa mh Joseph Mbilinyi aka Sugu Moto Chini ameandika Ukurasani X " Mh Rais na Amiri Jeshi Mkuu TUMEFIKAJE huku tena?"
Sugu ameandika akiwa Chumba cha Wagonjwa mahututi
Yaani bado wanataka huruma ya SSH??
Naona na ile simu aliyoibiwa wamemrudishia.Si tunaambiwa yu mahtuti amewezaje kuandika hayo!?
Atulie atuachie kazi GEN-Z 2025 tutaimaliza kaziMwenyekiti wa Chadema Kanda ya Nyasa mh Joseph Mbilinyi aka Sugu Moto Chini ameandika Ukurasani X " Mh Rais na Amiri Jeshi Mkuu TUMEFIKAJE huku tena?"
Sugu ameandika akiwa Chumba cha Wagonjwa mahututi
Dah nimeona kwenye mtandao wa x, hakika inasikitisha sana. Nadhani kutakuwa na watu wanaotaka kuharibu 4 RMwenyekiti wa Chadema Kanda ya Nyasa mh Joseph Mbilinyi aka Sugu Moto Chini ameandika Ukurasani X " Mh Rais na Amiri Jeshi Mkuu TUMEFIKAJE huku tena?"
Sugu ameandika akiwa Chumba cha Wagonjwa mahututi
Mkuu 'Nehemia Kilave', mimi nimekuelewa nilivyo elewa ujumbe wako huu; hata kama ni kinyume na ulivyo lenga ueleweke.We need to stop acting and concentrate on serious matters , prof Jay akisikia Sugu yuko chumba cha wagonjwa mahututi anapata picha nyingine kabisa . Rais Samia akiambiwa Sugu yuko chumba cha wagonjwa mahututi huku anachati anachukulia hawa watu hawako serious.
Maneno ya namna hii, na yale yanayosemekana Mwenyekiti naye kayasema yanayo shabihiana na haya ndiyo yanayotia shaka sana kuhusu hawa watu." Rais na Amiri Jeshi Mkuu TUMEFIKAJE huku tena?"
..Samia si amesema yeye ni MAMA?
Au sio MAMA tena? Lini ameacha kuwa MAMA?