Joseph Mbilinyi: Rais Samia hawezi kubadili mfumo akiwa na watu walewale

Hadi Leo nashindwa kuelewa hii hoja kwa nini hawastahili kubaki ikiwa mama Samia mwenyewe alikuwa serikali hiyohiyo tena alishiriki kuiunda.
Na akaenda mbali kwa kusema yeye na mwendazake ni kitu kimoja, Sasa tunataka aibadili ili iweje? Rangi yake kishaionyesha
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Upumbavu tu!

Yeye Samia katokea kwenye mfumo upi?

Yani hata baada ya kifo cha Magufuli michadema bado inaona kufeli kwao ni sababu ya Magufuli?

Taliban hawakuwa na hashtag wala space ya maria ila wamefanikiwa kwenye malengo yao.

Nendeni hata hapo kwa mpinzani wa Lungu muone katumia mbinu gani.
 
Hana nia ya dhati kubadilisha, anacho fanya kuilinda CCM na genge lake kwa mtutu wa bunduki alizopewa na wananchi masikini wanyonge wasioweza kujitetea.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Upumbavu tu!

Yeye Samia katokea kwenye mfumo upi?

Yani hata baada ya kifo cha Magufuli michadema bado inaona kufeli kwao ni sababu ya Magufuli?

Taliban hawakuwa na hashtag wala space ya maria ila wamefanikiwa kwenye malengo yao.

Nendeni hata hapo kwa mpinzani wa Lungu muone katumia mbinu gani.
Hawa jamaa bado hawajielewi.
 
Mama Samia pia ni yuleyule wa kwenye serikali ileile ya hayati Magufuli!,Sugu ajielewi huyu.
Hatuna shida na Samia kuwa yuleyule bali asiudanganye umma, alishasema kulikuwa na kesi147 za kubambikiza, mbambikizaji mkuu akiwa Sirro, sasa mbona hakumuondoa?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Upumbavu tu!

Yeye Samia katokea kwenye mfumo upi?

Yani hata baada ya kifo cha Magufuli michadema bado inaona kufeli kwao ni sababu ya Magufuli?

Taliban hawakuwa na hashtag wala space ya maria ila wamefanikiwa kwenye malengo yao.

Nendeni hata hapo kwa mpinzani wa Lungu muone katumia mbinu gani.

Asanteee😍
 
aache uongo
 
Mama Rais, "Mother's Love" kwa upendo na kushauri ukisikiliza akili hizi za wavuta sonyo umekwisha na nchi hii itakushinda. Angalia wasaidizi wote hawa waliotajwa walivyotenda kipindi cha msiba wa JPM!

Ili kumjua huyu ni mnafiki na anataka akuingize shimo kwa nini amtaje IGP na wengine asimtaje CDF? Acha hawa waondoke kwa taratibu za kustaafu kwa heshima. Nchi hii haikuwahi kufikwa na msiba wa Rais aliye Madarakani hapo kabla. Heshimu hawa wasaidizi wako kwa hilo tu la kutuvusha kipindi kile cha msiba mkubwa wa Taifa hili hata kama huna kingine.
 
Back
Top Bottom