Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Nyasa Joseph Mbilinyi-Sugu Moto Chini amekabidhi Madera 100 kwa Jumuiya ya Wanawake BAWACHA pamoja na Vitabu 50.
Sugu ametoa taarifa ya makabidhiano Ukurasani X
Baadae mlale Unono 😄😄
Erythrocyte wahi zawadi 😂
---
Mwenyekiti wa Kanda ya Nyasa jana alikabidhi madera ya chama 100 pamoja na vitabu 50 vya sera ya wanawake ya Chadema, kwa Mwenyekiti mpya wa Bawacha wa kanda hiyo Mama Tabia Mwakikuti.
Mwenyekiti wa Kanda ya Nyasa pia jana alikabidhi vitabu 50 vya Sera ya vijana ya Chadema, kwa Mwenyekiti wa Bavicha wa Kanda hiyo, Vitus Nkuna