Pre GE2025 Joseph Mbilinyi (Sugu) atagombea Ubunge Mbeya mjini au Katiba ya CHADEMA hairuhusu Vyeo viwili?

Pre GE2025 Joseph Mbilinyi (Sugu) atagombea Ubunge Mbeya mjini au Katiba ya CHADEMA hairuhusu Vyeo viwili?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Nauliza tu maana Siasa za Mbeya mjini zinazidi Kuwa Ngumu

Katiba ya Chadema inazungumziaje Kofia mbili?

Ahsanteni in advance 😀
 
Huu muda wa Kupiga majungu humu Paza sauti kuwasaidia Wazazi wako wanao taabika kuke kijijini kwa sababu ya mfumo mbaya wa CCM. mnajitoa sana ufahamu wakati uhalisia hapo ulipo wazazi wako wana taabika sana kisa ni CCM.
Au endelea kumuota Sugu basi
 
Chama cha Mapinduzi kitasaidia Dr. Sugu kupata ubunge huku AKIWA na cheo chake endapo atatoa ushirikiano vyema na chama Cha mapinduzi. 😃😃😃
 
Huu muda wa Kupiga majungu humu Paza sauti kuwasaidia Wazazi wako wanao taabika kuke kijijini kwa sababu ya mfumo mbaya wa CCM. mnajitoa sana ufahamu wakati uhalisia hapo ulipo wazazi wako wana taabika sana kisa ni CCM.
Au endelea kumuota Sugu basi
Duniani kuna + na -
 
Kwani Mchungaji hakuwa mbunge huku akiwa mwenyekiti wa kanda?
 
Back
Top Bottom