ubunge mbeya mjini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mwalunenge achukua fomu kugombea ubunge Mbeya Mjini

    Kada wa Chama Cha Mapinduzi Patrick Mwalunenge Amechukua rasmi fomu ya Kuomba kuteuliwa na tume huru ya Taifa Ya uchaguzi kugombea ubunge wa jimbo la Mbeya Mjini Kupitia Chama Cha Mapinduzi Ccm Mwalunenge Amechukua fomu hiyo siku chache baada ya kuteuliwa na Chama chake kukiwakilisha katika...
  2. J

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbeya Mjini ni vigumu sana Wasafwa kupata Ubunge, ni Jimbo la wageni kama Arusha Mjini

    Watu wengi wanaamini Wenyeji wa Mbeya Mjini ni Wanyakyusa na Wasafwa kwao ni Mbeya Vijijini Lakini ukweli ni Kuwa Mbeya Mjini na Vijijini kote ni Kwa Wasafwa ila inasemekana Wasafwa ni Watu wataratibu sana wasiopenda kabisa mambo ya siasa Wao wamejikita zaidi kwenye mambo ya Dini hasa Misikiti...
  3. The Watchman

    JamiiForums Tanzania SI KWELI PreGE2025 Sugu atangaza kugombea ubunge Mbeya Mjini, aonesha mashaka dhidi ya 'No reforms, No Election'

    Wakuuw Wakuu huko mjini Facebook nimekutana na hii taarifa ya MillardAyo na Wasafi kuwa Sugu ametangaza rasmi kugombea ubunge Mbeya mjini na anaonekana Sugu mwenyewe amepost huko X, Je, ni kweli wakuu?
  4. J

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Joseph Mbilinyi (Sugu) atagombea Ubunge Mbeya mjini au Katiba ya CHADEMA hairuhusu Vyeo viwili?

    Nauliza tu maana Siasa za Mbeya mjini zinazidi Kuwa Ngumu Katiba ya Chadema inazungumziaje Kofia mbili? Ahsanteni in advance 😀
Back
Top Bottom