The Watchman
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 2,186
- 4,940
Kada wa Chama Cha Mapinduzi Patrick Mwalunenge Amechukua rasmi fomu ya Kuomba kuteuliwa na tume huru ya Taifa Ya uchaguzi kugombea ubunge wa jimbo la Mbeya Mjini Kupitia Chama Cha Mapinduzi Ccm
Mwalunenge Amechukua fomu hiyo siku chache baada ya kuteuliwa na Chama chake kukiwakilisha katika nafasi ya ubunge wa jimbo la Mbeya mjini katika uchaguzi unaotarajiwa kufanyika baadae October Mwaka Huu