Pre GE2025 Joseph Mbilinyi (Sugu) atagombea Ubunge Mbeya mjini au Katiba ya CHADEMA hairuhusu Vyeo viwili?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Nauliza tu maana Siasa za Mbeya mjini zinazidi Kuwa Ngumu

Katiba ya Chadema inazungumziaje Kofia mbili?

Ahsanteni in advance πŸ˜€
 
Huu muda wa Kupiga majungu humu Paza sauti kuwasaidia Wazazi wako wanao taabika kuke kijijini kwa sababu ya mfumo mbaya wa CCM. mnajitoa sana ufahamu wakati uhalisia hapo ulipo wazazi wako wana taabika sana kisa ni CCM.
Au endelea kumuota Sugu basi
 
Chama cha Mapinduzi kitasaidia Dr. Sugu kupata ubunge huku AKIWA na cheo chake endapo atatoa ushirikiano vyema na chama Cha mapinduzi. πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Huu muda wa Kupiga majungu humu Paza sauti kuwasaidia Wazazi wako wanao taabika kuke kijijini kwa sababu ya mfumo mbaya wa CCM. mnajitoa sana ufahamu wakati uhalisia hapo ulipo wazazi wako wana taabika sana kisa ni CCM.
Au endelea kumuota Sugu basi
Duniani kuna + na -
 
Kwani Mchungaji hakuwa mbunge huku akiwa mwenyekiti wa kanda?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…