Joseph Mbilinyi (Sugu) kununua kila goli watakalofunga Mbeya City kwa Tsh 1,000,000 na fedha kukabidhiwa Mfungaji!

Joseph Mbilinyi (Sugu) kununua kila goli watakalofunga Mbeya City kwa Tsh 1,000,000 na fedha kukabidhiwa Mfungaji!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
sugu.jpg

Mjumbe wa kamati kuu ya Chadema mh Joseph Mbilinyi aka Sugu amesema atanunua kila goli la Mbeya City watakalofunga kwenye Michezo 4 ya Ligi Kuu iliyobaki kwa Tsh. Milioni 1.

Sugu amesema fedha italipwa kwa Mfungaji.

Mbeya City iko katika hatari ya kushuka daraja.

=====

Mbeya City Stand Up! Timu yetu iko hatarini kushuka daraja, TUSIKUBALI. Tumebakiza mechi 4 na ili kupona inabidi tushinde hata mechi mbili tu.

Katika kuhamasisha Wachezaji wetu uwanjani, mimi natoa milioni moja kwa kila Goli la Ushindi kwenye mechi zote zilizobaki na mkwanja utaenda kwa mfungaji.

Sugu.
 
Mjumbe wa kamati kuu ya Chadema mh Joseph Mbilinyi aka Sugu amesema atanunua kila goli la Mbeya City Watakalofunga kwenye Michezo 4 ya Ligi kuu iliyobaki kwa tsh 1 milioni

Sugu amesema fedha italipwa kwa Mfungaji

Mbeya City iko katika hatari ya kushuka daraja
Wazo la Jogwe ni zuri ila ingekuwa poa hiyo hela angeipa timu badala ya a mchezaji kwani ili kuzuia uchoyo ndani ya pitch

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
 
Mjumbe wa kamati kuu ya Chadema mh Joseph Mbilinyi aka Sugu amesema atanunua kila goli la Mbeya City Watakalofunga kwenye Michezo 4 ya Ligi kuu iliyobaki kwa tsh 1 milioni

Sugu amesema fedha italipwa kwa Mfungaji

Mbeya City iko katika hatari ya kushuka daraja
Kwa akili zake za form two ndio anafikiri ni njia ya kunusuru timu isishuke daraja

USSR

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mjumbe wa kamati kuu ya Chadema mh Joseph Mbilinyi aka Sugu amesema atanunua kila goli la Mbeya City Watakalofunga kwenye Michezo 4 ya Ligi kuu iliyobaki kwa tsh 1 milioni

Sugu amesema fedha italipwa kwa Mfungaji

Mbeya City iko katika hatari ya kushuka daraja
Vijana wetu mwaka huu watafia uwanjani.. 😀 😀
 
wachezaji wakazane sasa mwenzake karudi ubeligiji anakazi ya kupanda jukwani na kuonyesha makovu tuh
 
Back
Top Bottom