johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Mjumbe wa kamati kuu ya Chadema mh Joseph Mbilinyi aka Sugu amesema atanunua kila goli la Mbeya City watakalofunga kwenye Michezo 4 ya Ligi Kuu iliyobaki kwa Tsh. Milioni 1.
Sugu amesema fedha italipwa kwa Mfungaji.
Mbeya City iko katika hatari ya kushuka daraja.
=====
Mbeya City Stand Up! Timu yetu iko hatarini kushuka daraja, TUSIKUBALI. Tumebakiza mechi 4 na ili kupona inabidi tushinde hata mechi mbili tu.
Katika kuhamasisha Wachezaji wetu uwanjani, mimi natoa milioni moja kwa kila Goli la Ushindi kwenye mechi zote zilizobaki na mkwanja utaenda kwa mfungaji.
Sugu.