johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Wazo la Jogwe ni zuri ila ingekuwa poa hiyo hela angeipa timu badala ya a mchezaji kwani ili kuzuia uchoyo ndani ya pitchMjumbe wa kamati kuu ya Chadema mh Joseph Mbilinyi aka Sugu amesema atanunua kila goli la Mbeya City Watakalofunga kwenye Michezo 4 ya Ligi kuu iliyobaki kwa tsh 1 milioni
Sugu amesema fedha italipwa kwa Mfungaji
Mbeya City iko katika hatari ya kushuka daraja
Kwa akili zake za form two ndio anafikiri ni njia ya kunusuru timu isishuke darajaMjumbe wa kamati kuu ya Chadema mh Joseph Mbilinyi aka Sugu amesema atanunua kila goli la Mbeya City Watakalofunga kwenye Michezo 4 ya Ligi kuu iliyobaki kwa tsh 1 milioni
Sugu amesema fedha italipwa kwa Mfungaji
Mbeya City iko katika hatari ya kushuka daraja
Ngoja tuoneKwa akili zake za form two ndio anafikiri ni njia ya kunusuru timu isishuke daraja
USSR
Sent using Jamii Forums mobile app
🤩🤩Dah siku zinakimbia sana, kumbe uchaguzi umekaribia
Unadhani hata mpira wenyewe anaujua?Angesema mfungaji apewe laki tatu nyingine iende kwa timu
Ukiongeza na ww njia yako bora zaidi chama la wana Mbeya litabak ligi kuuKwa akili zake za form two ndio anafikiri ni njia ya kunusuru timu isishuke daraja
USSR
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuujua kvp Yani!!Unadhani hata mpira wenyewe anaujua?
Vijana wetu mwaka huu watafia uwanjani.. 😀 😀Mjumbe wa kamati kuu ya Chadema mh Joseph Mbilinyi aka Sugu amesema atanunua kila goli la Mbeya City Watakalofunga kwenye Michezo 4 ya Ligi kuu iliyobaki kwa tsh 1 milioni
Sugu amesema fedha italipwa kwa Mfungaji
Mbeya City iko katika hatari ya kushuka daraja
Mh Rais ana akili za form ngapi?Kwa akili zake za form two ndio anafikiri ni njia ya kunusuru timu isishuke daraja
USSR
Sent using Jamii Forums mobile app
Mjane wa marehemu una shobo sanaKwa akili zake za form two ndio anafikiri ni njia ya kunusuru timu isishuke daraja
USSR
Sent using Jamii Forums mobile app
una maana gani hapa?wachezaji wakazane sasa mwenzake karudi ubeligiji anakazi ya kupanda jukwani na kuonyesha makovu tuh
sympathy za kijingauna maana gani hapa?
Tatizo hao nao ni mashabiki wa Simba na yanga.Ila Mbeya wangeungana kuinua soka mfano mwamposa,tulia ,sugu,mwandosya ,mwakyembe na wengineo timu ingekua kali zaidi ya Yanga na Simba