Joseph Mbilinyi (Sugu) kununua kila goli watakalofunga Mbeya City kwa Tsh 1,000,000 na fedha kukabidhiwa Mfungaji!

Joseph Mbilinyi (Sugu) kununua kila goli watakalofunga Mbeya City kwa Tsh 1,000,000 na fedha kukabidhiwa Mfungaji!

Hajui mpira, zawadi yake inahamasisha wachezaji wacheze individually, timu inashuka daraja wanahitaji kuwa collective kama timu ili kuinusuru.
 
FB_IMG_1681292779124.jpg
 
Back
Top Bottom