Joseph Mbilinyi "Sugu" na Masonga wakihukumiwa hukumu hiyo itakuwa ni batili

Noel Shao

Member
Joined
Jan 19, 2017
Posts
89
Reaction score
185
Hakimu Mkazi Mfawidhi, Michael Mteite wa mahakama ya Hakimu Mkazi - Mbeya, amegoma kujitoa katika shauri linalo mkabili mbunge wa Mbeya mjini , na Katibu wa Kanda ya Nyanda za juu kusini, Emanuel Masonga. Kesi hiyo inayo simamiwa na mawakili wasomi Hekima Mwasipu na Boniface Mwabukusi imeleta mvutano mkali wa kisheria, jambo ambalo linatoa shaka kama Hakimu hana agenda binafsi na kesi hiyo.
Sugu alitoa sababu kuu Tatu za kumkataa Hakimu :-

1. Kuwanyima dhamana bila sababu za msingi.

2. Hakimu kuamua kupokea ushahidi wa kifaa kilicho rekodi sauti ya Sugu km kielelezo wakati aliye rekodi kifaa hicho siye aliye kiwakilisha mahakamani hapo. Jopo la mawakili walidai kifaa hicho hakija kidhi matakwa ya kisheria na muwasilisha ana maslai na kesi hiyo kwa kuwa ni Askari polisi anaye fanya kazi katika Ofisi ya upelelezi mkoa wa Mbeya (RCO) . Na ingefaa aliye rekodi ndiye awasilishe kifaa hicho na aleze alirekodi kwa maudhui gani.

3. Hakimu kukiri kesi, imekupa shida, Sugu alisema "Mi ni Mkristo sitaki upate shida naomba nikukatae ili aje hakimu mwingine aendeshe kesi kwa uhuru bila kupata shida na mazingira ya shinikizo lolote lile.

Pamoja na sababu zote hizo Hakimu amekataa kujitoa. Ila mawakili wa upande wa utetezi (Sugu) wakatumia busara ya kisheria wakaamua kujitoa.

Katika mazingira hayo kama wewe huelewi masuala ya sheria unaweza Shangaa na kupata shida na maamuzi hayo ya "learned Advocates "
Kama Hakimu akiendelea na kesi na Kuamua kumtia hatia Sugu na Katibu huyo. Mawakili watakataa rufaa mahakama kuu na watashinda kwa grounds/sababu kuu Tatu-:

1. Makosa yao kisheria yalikuwa yadhaminika, "bailable" ila Hakimu kwa utashi wake akagoma kuwampa watuhumiwa dhamana.

2. Kwa kuwa watuhumiwa walikuwa na mawakili ila kutokana na mwendeno wa kesi walio utilia shaka, wakaamua kujitoa. Na mahakama ikaamua kuendelea kusikiliza kesi husika, hukumu hiyo itakuwa batili kwa sababu mahakama imewamnyima haki ya uwakilishi watuhumiwa " trial magistrate denied appellant right to legal representation.

3. Kwa kuwa upande wa utetezi umeomba Hakimu ajitoe katika kesi kwa kutokuwa na imani nae" on the grounds of bias" na Hakimu kwa utashi wake akaamua kukataa, basi maamuzi au hukumu itakayo tolewa itakuwa batili pia. Kisheria mtuhumiwa ana haki ya kumkataa Hakimu. Sasa iweje huyu ang'ang'anie,?

Kuna kifungu kimoja cha sheria kinasema " where bias has been alleged, then unless there be very good reason, it's prudent for a judge or magistrate concerned to step down and not to insist on hearing the matter"

Kw tasfri isiyo rasmi," Ikiwa kuna tuhuma za ependeleo, , basi isipokuwa kuna sababu muhimu ni busara kwa hakimu anayehusika kuachana the hiyo kesi na si kusisitiza kutaka kuendelea nayo"
[HASHTAG]#Msigope[/HASHTAG]
[HASHTAG]#Tutashinda[/HASHTAG]
[HASHTAG]#JusticeForAll[/HASHTAG]..

Ndimi, Noel Shao
[HASHTAG]#mjenziWaTanzaniaMpya[/HASHTAG]
 
Mkubwa ni kweli kabisa pia kama kuna dalili za shinikizo kwenye kesi mtuhumiwa anayo nafasi kumkataa hakimu.hayo yaliwahi kunikuta na hakimu alivyong'ang'ania kuendelea na kesi nili appeal Mahakama kuu akanyang'anywa kesi kwani alidhamiria kunifunga
 
Asante kwa kutuongezea elimu kwenye hii taaluma ya sheria.
 
Hivi Shao, Sugu alisema maneno gani? Hiyo video ilikuwa na maneno gani?
Kuna case law uliyoisema naomba uiweke hapa au nitumie inbox. Nilikuwa nayo nimeitafuta sijaipata (
" where bias has been alleged, then unless there be very good reason, it's prudent for a judge or magistrate concerned to step down and not to insist on hearing the matter")
 
Kesi yao iko vibaya, hapo hakuna upendeleo hakimu yeyote atakayesikiliza kwa haki lazima watiwe hatiani.
 
Asante kwa ufafanuzi mzuri, Tunaomba M/Mungu ajalie mja wake huyu.
 
Hivi Shao, Sugu alisema maneno gani? Hiyo video ilikuwa na maneno gani?
Kuna case law uliyoisema naomba uiweke hapa au nitumie inbox. Nilikuwa nayo nimeitafuta sijaipata (
" where bias has been alleged, then unless there be very good reason, it's prudent for a judge or magistrate concerned to step down and not to insist on hearing the matter")
 
Attachments

  • Screenshot_2018-01-26-18-06-02.png
    Screenshot_2018-01-26-18-06-02.png
    88.5 KB · Views: 58
Mleta mada unapaswa kuongea sheria na sio hisia za kisiasa,

1. Mawakili wa sugu wamejitoa na Sugu mwenyewe kaomba muda wa kutafuta mawakili wapya, na mahakama hio imempa nafasi hio, sugu hajasema kama hatoleta tena mawakili.

2. Hakuna ushaidi unaonesha kama hakimu alikua bias au yuko bias na atakua bias, ila tu ina hisiwa uenda, lakin hisia hizi ndio kitechnicalities ndo zitazaa grounds za appeal mfano hio ya ushaidi wa kifaa cha kurekodia sauti na aliekiwasilisha.

3. Kamwe huwezi kwenda kuappeal ktk mahakama inayofuata dhidi ya hukumu ya awali kwa ground et kosa lilikua bailable ila mteja wetu hakupewa bail, itakua sababu ya kitoto sanaa, na appeal itadeal na hukumu iloyotolewa ilikujua A na B zilikua sawa, na sio et enzi za kesi mtuhumiwa alipewa dhamana.

Hope wewe ni mwanafunzi wa sheria, ni kitu kizuri pia kujikomaza ktk magroup kama haya, wish you lucky, kila la kheri.
 
Hiyo hoja yako ya tatu si kweli, kisheria appeal si lazima itokane na uamuzi mzima yaani 'judgement ' ila inaweza tokana na maamuzi madogo 'rulling'. Suala la dhamana ni la kisheria mbali na mambo mengine appeal ni ktk point of law sasa kwanini isiwe sababu ya msingi?

Rejea kesi ya Godbless Lema 2016, ambapo ilifika mahakama ya rufaa kupiga uamuzi wa mahakama ya hakimu mkazi wa kuzuia dhamana na kesi ile ilisikilizwa 'on merit' Lema akapata dhamana, vile vile judge alilisitiza weledi wa kitaaluma na kushangazwa na kitendo cha dhamana kunyimwa bila sababu za msingi...

Katika hoja ya kwamba ni bias msimamo wa mahakama upo wazi ( kama alivyoanisha mtoa mada na mimi kuweka kesi ya misingi inayosema, kama kuna tuhuma yatosha hakimu ama jaji kujitoa... logic ni kwamba haki itendeke na ionekane kutendeka, maana hakimu au judge hawezi kuamua ati ajitoe au la kutokana na msingi wa rule against bias.

Hivi katika tuhuma dhidi ya hakimu ati hakimu ndo muamuzi, hii ni kinyume na Nemo judex incusa sua, 'one should not be judge/ magistrate in his own case' dhana ya kuwa impartial haipo hapo.
 
Acha uongo, mahakama ya hakimu mkazi haikumnyima Lema dhamana, na ilisema lema ana haki ya dhamana, na kwanza lema hakukata rufaa hadi mahakama ya rufani, na wala haikua appeal juu ya rulling ila ulikua mchezo wa kitechnicalities tu uliokua unachezwa na dpp na ofisi yake. Na ulikua upande wa serikali chini ya dpp ambao
upande wa Jamhuri wakipinga Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha kumpa Lema haki ya dhamana, baada ya mawakili wa pande zote kuwasilisha hoja zao kwa maandishi. Hivyo wakapeleka shauri mahakama ya rufaa wakitaka itoe tafsiri ya kisheria ya notisi ya nia ya kukata rufaa iliyowasilishwa na mawakili hao wa Jamhuri, ambayo ilisababisha mahakama ya hakimu mkazi kutokuendelea na hatua ya kuweka masharti ya dhamana kwa lema. (Penda kujisomea, na ukibisha hapa kagoogle kesi nzima ipo na jibu bakia nalo)

Na pili hata hujaelewa mleta mada alikua ana zungumzia appeal ya kitu gani, ila tu ukaona kasehemu kadogo ktk hoja yangu ya appeal basi ukaamua ulete darasa zima ktk sehemu ambayo sio, ulipaswa kujua pale tulikua tunaongelea appeal ya judgement nzima.

Twende ktk hoja ya bias, haya ni wapi ambapo hakimu ametuhumiwa? Unaelewa maana ya tuhuma? Je ametuhumiwa na nani na hizo tuhuma ni za namna gani? Unaelewa tofauti ya hisia na tuhuma? Je sugu kusema hana imani nae hizi mi tuhuma au hisia? Sheria inasemaje juu ya hisia na hofu za mtuhumiwa? Zina back up yoyote ya kisheria?

Penda kujisomea, na uangalie sheria inasimama ktk mstari upi bila kuathiriwa na mitizamo ya kisiasa.
 
Hakimu Mkazi Mfawidhi, Michael Mteite wa mahakama ya Hakimu Mkazi - Mbeya, amegoma kujitoa katika shauri linalo mkabili mbunge wa Mbeya mjini , na Katibu wa Kanda ya Nyanda za juu kusini, Emanuel Masonga. Kesi hiyo inayo simamiwa na mawakili wasomi Hekima Mwasipu na Boniface Mwabukusi imeleta mvutano mkali wa kisheria, jambo ambalo linatoa shaka kama Hakimu hana agenda binafsi na kesi hiyo.
Sugu alitoa sababu kuu Tatu za kumkataa Hakimu :-

1. Kuwanyima dhamana bila sababu za msingi.

2. Hakimu kuamua kupokea ushahidi wa kifaa kilicho rekodi sauti ya Sugu km kielelezo wakati aliye rekodi kifaa hicho siye aliye kiwakilisha mahakamani hapo. Jopo la mawakili walidai kifaa hicho hakija kidhi matakwa ya kisheria na muwasilisha ana maslai na kesi hiyo kwa kuwa ni Askari polisi anaye fanya kazi katika Ofisi ya upelelezi mkoa wa Mbeya (RCO) . Na ingefaa aliye rekodi ndiye awasilishe kifaa hicho na aleze alirekodi kwa maudhui gani.

3. Hakimu kukiri kesi, imekupa shida, Sugu alisema "Mi ni Mkristo sitaki upate shida naomba nikukatae ili aje hakimu mwingine aendeshe kesi kwa uhuru bila kupata shida na mazingira ya shinikizo lolote lile.

Pamoja na sababu zote hizo Hakimu amekataa kujitoa. Ila mawakili wa upande wa utetezi (Sugu) wakatumia busara ya kisheria wakaamua kujitoa.

Katika mazingira hayo kama wewe huelewi masuala ya sheria unaweza Shangaa na kupata shida na maamuzi hayo ya "learned Advocates "
Kama Hakimu akiendelea na kesi na Kuamua kumtia hatia Sugu na Katibu huyo. Mawakili watakataa rufaa mahakama kuu na watashinda kwa grounds/sababu kuu Tatu-:

1. Makosa yao kisheria yalikuwa yadhaminika, "bailable" ila Hakimu kwa utashi wake akagoma kuwampa watuhumiwa dhamana.

2. Kwa kuwa watuhumiwa walikuwa na mawakili ila kutokana na mwendeno wa kesi walio utilia shaka, wakaamua kujitoa. Na mahakama ikaamua kuendelea kusikiliza kesi husika, hukumu hiyo itakuwa batili kwa sababu mahakama imewamnyima haki ya uwakilishi watuhumiwa " trial magistrate denied appellant right to legal representation.

3. Kwa kuwa upande wa utetezi umeomba Hakimu ajitoe katika kesi kwa kutokuwa na imani nae" on the grounds of bias" na Hakimu kwa utashi wake akaamua kukataa, basi maamuzi au hukumu itakayo tolewa itakuwa batili pia. Kisheria mtuhumiwa ana haki ya kumkataa Hakimu. Sasa iweje huyu ang'ang'anie,?

Kuna kifungu kimoja cha sheria kinasema " where bias has been alleged, then unless there be very good reason, it's prudent for a judge or magistrate concerned to step down and not to insist on hearing the matter"

Kw tasfri isiyo rasmi," Ikiwa kuna tuhuma za ependeleo, , basi isipokuwa kuna sababu muhimu ni busara kwa hakimu anayehusika kuachana the hiyo kesi na si kusisitiza kutaka kuendelea nayo"
[HASHTAG]#Msigope[/HASHTAG]
[HASHTAG]#Tutashinda[/HASHTAG]
[HASHTAG]#JusticeForAll[/HASHTAG]..

Ndimi, Noel Shao
[HASHTAG]#mjenziWaTanzaniaMpya[/HASHTAG]
Safi kwa mtiririko huo at least
 
Ruling on bail for Lema remains in suspension

Soma vizuri kesi hiyo unaachoongea si kweli.
 
Hii Sugu hachomoki hii!! Lazima anyee ndoo tu kudadadeki!!
 
Kupigwa risasi tundu lissu imekuwa ni pigo kubwa sana kwa upinzani.
Lakini naushauri upinzani ujiwekeze sana kwenye sheria. na iwashauri viongozi wake kupenda kujisomea maswala ya sheria.
 
Back
Top Bottom