Mtu Asiyejulikana
JF-Expert Member
- Sep 11, 2017
- 2,254
- 5,161
Sugu simama uhesabiwe. Huu ukimya wako maana yake ni? Wewe umesaliti Mwenyekiti? Hata wewe? Au umeamua kutumia busara? Muda ni wakati mzuri. Ni wakati wa kusimama kuhesabiwa.
Tunaona watu ambavyo wanamkataa mwenyekiti. Tena inashangaza watu wa CDM ndo leo hii wanampinga Mwamba. Yeye Sugu amenyamaza tu.
Hadi CCM leo hii wanaona umuhimu wa Mwenyekiti. Yeye CDM ananyamaza.kweli? Hii si sawa kabisa.tunataka tumsikie Sugu. Au kama ametumia busara sawa. Aseme tu tujue moja.
Boni Yai alizungumza...akanyamaza. sijui naye nani alimshika sikio. Anapaswa apambane. Asinyamaze. Mnamwacha mwenyekiti na akina Ntobi?kweli? Yaani Ntobi na Yericko ndo wakumpambania mwenyekiti?ninyi mmenyamaza?