Joseph Mbilinyi (Sugu) yupo wapi? Kimya chake kinatupa taharuki

Joseph Mbilinyi (Sugu) yupo wapi? Kimya chake kinatupa taharuki

Pesa za abdul zimewaziba mdomo chadema wengi hata lema pia

Siamini lakini nataka kuamini...Lema, Sugu, Mnyika, Boni yao na M Maranya kimyaaaaa Kama mmma mtungini.,tutajuaje kuwa ni mbegu Bora au feki? Ni wakati Sasa wa kusimama na kuhesabiwa bila hivyo ni undumila kuwili ili wajaze matumbo yao
 
Sugu simama uhesabiwe. Huu ukimya wako maana yake ni? Wewe umesaliti Mwenyekiti? Hata wewe? Au umeamua kutumia busara? Muda ni wakati mzuri. Ni wakati wa kusimama kuhesabiwa.

Tunaona watu ambavyo wanamkataa mwenyekiti. Tena inashangaza watu wa CDM ndo leo hii wanampinga Mwamba. Yeye Sugu amenyamaza tu.

Hadi CCM leo hii wanaona umuhimu wa Mwenyekiti. Yeye CDM ananyamaza.kweli? Hii si sawa kabisa.tunataka tumsikie Sugu. Au kama ametumia busara sawa. Aseme tu tujue moja.

Boni Yai alizungumza...akanyamaza. sijui naye nani alimshika sikio. Anapaswa apambane. Asinyamaze. Mnamwacha mwenyekiti na akina Ntobi?kweli? Yaani Ntobi na Yericko ndo wakumpambania mwenyekiti?ninyi mmenyamaza?
Ingekua ni wewe kwa hizi mvua za spana na nyuzi za kumkataa mbowe ungejitokeza kweli.? Alafu hawawezi kutoka tu na kuongea olihali wanajua je kama.nao hawamkubali mwamba ai washa soma alama za nyakati. Akili mtu wangu inahutajika
 
Back
Top Bottom