no reform no elections halafu unasubiri mchakato wa kuligawa jimbo ili ujue utagombea jimbo lipi, surely?Mbunge wa zamani wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ amesema licha ya kutokuwa sehemu ya uamuzi wa kugawa jimbo hilo, lakini ni miongoni mwa wanaosubiri mchakato huo kukamilika, huku akikanusha taarifa za kuwa hatagombea.
Pia, amesisitiza anachosubiri ni uamuzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) kuligawa jimbo hilo linaloongozwa na Spika wa Bunge, Dk Tulia Ackson ili ajue atagombea wapi.
Mbeya ni miongoni mwa mikoa iliyopendekeza majimbo yake kugawanywa ikiwa ni Mbeya Mjini yapatikane mawili la Mbeya Mjini lenyewe na la Uyole. Pia la Mbeya Vijijini yapatikane mawili la Mbeya Vijijini na la Mbalizi.
Akizungumza leo Machi 20, 2025 Sugu amesema mchakato unaoendelea wa kugawa jimbo hilo, anasubiri matokeo yake kwa kuwa hashiriki vikao vya namna yoyote vya maamuzi.
Sugu amesema kwa sasa ameamua kuwa mtulivu akisubiri wagawe ili kuona mpira ukifika uwanjani kuamua ni mguu wa kushoto au kulia wa kupigia danadana, huku akikanusha vikali taarifa zilizomtaja kuwa hatagombea.
View attachment 3278365
“Mimi siyo mbunge, siingii kwenye vikao hivyo vya maamuzi, nasubiri matokeo ili kujua ni mguu upi wa kushoto au kulia wa kupigia danadana, kwa sasa nimekuwa mtulivu nikisubiri matokeo.
“Ndio maana tunapushi ‘No Reforms No Election’, lengo ni kugombea vinginevyo tungeweza kufanya shughuli nyingine kama kuuza chai na maandazi huko Desideria, ile posti iliyosambaa mitandaoni siyo ya kwangu” amesema Sugu.
Hata hivyo, kwa kipindi cha nyuma wakati wa mikutano yake Sugu, mara kadhaa alikaririwa akieleza kuhitaji kumfuata mbunge wa CCM, Dk Tulia popote atakapogombea kwenye uchaguzi Mkuu unaotarajia kufanyika Oktoba 25 mwaka huu.
Source: Mwananchi
Ule ni uamuzi wa lissu pekee alikurupuka jongwe kauchukua pesa za wazungu asuse wamle nyama!no reform no elections halafu unasubiri mchakato wa kuligawa jimbo ili ujue utagombea jimbo lipi, surely?
hii habari ya kung'ata na kupuliza itakupa ushindi kweli? Why staki na taka kuelekea uchaguz mkuu gentleman?
kwanini usiwape wananchi wako uhakika kuliko kuwajaza dhana na fikra za kuona hakuna umuhimu wa uchaguz? si utashindwa asubuhi na mapema kabisaa 🐒
Ni vigumu kuelewa kama hautaki kuelewa. Ufafanuzi umetolewa mara nyingi lakini ugumu ni pale watu hawataki kuelewa. No reforms no election, CDM watashiriki uchaguzi kwa njia ambayo wataona inafaa. Ukizuia uchaguzi, tayari umeshiriki uchaguzi, ukipiga kura/ kupigiwa tayari umeshiriki. Lakini, reforms hazijashindikana hivyo hawawezi kuacha kupanga mikakati ya uchaguziHawa watu hawaeleweki nawahurumia wanaopoteza muda kuwafatilia
Cjaelewa hata kidogoMbunge wa zamani wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ amesema licha ya kutokuwa sehemu ya uamuzi wa kugawa jimbo hilo, lakini ni miongoni mwa wanaosubiri mchakato huo kukamilika, huku akikanusha taarifa za kuwa hatagombea.
Pia, amesisitiza anachosubiri ni uamuzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) kuligawa jimbo hilo linaloongozwa na Spika wa Bunge, Dk Tulia Ackson ili ajue atagombea wapi.
Mbeya ni miongoni mwa mikoa iliyopendekeza majimbo yake kugawanywa ikiwa ni Mbeya Mjini yapatikane mawili la Mbeya Mjini lenyewe na la Uyole. Pia la Mbeya Vijijini yapatikane mawili la Mbeya Vijijini na la Mbalizi.
Akizungumza leo Machi 20, 2025 Sugu amesema mchakato unaoendelea wa kugawa jimbo hilo, anasubiri matokeo yake kwa kuwa hashiriki vikao vya namna yoyote vya maamuzi.
Sugu amesema kwa sasa ameamua kuwa mtulivu akisubiri wagawe ili kuona mpira ukifika uwanjani kuamua ni mguu wa kushoto au kulia wa kupigia danadana, huku akikanusha vikali taarifa zilizomtaja kuwa hatagombea.
View attachment 3278365
“Mimi siyo mbunge, siingii kwenye vikao hivyo vya maamuzi, nasubiri matokeo ili kujua ni mguu upi wa kushoto au kulia wa kupigia danadana, kwa sasa nimekuwa mtulivu nikisubiri matokeo.
“Ndio maana tunapushi ‘No Reforms No Election’, lengo ni kugombea vinginevyo tungeweza kufanya shughuli nyingine kama kuuza chai na maandazi huko Desideria, ile posti iliyosambaa mitandaoni siyo ya kwangu” amesema Sugu.
Hata hivyo, kwa kipindi cha nyuma wakati wa mikutano yake Sugu, mara kadhaa alikaririwa akieleza kuhitaji kumfuata mbunge wa CCM, Dk Tulia popote atakapogombea kwenye uchaguzi Mkuu unaotarajia kufanyika Oktoba 25 mwaka huu.
Source: Mwananchi
🤣🤣🤣 Mbona anaeleweka? Anasubiri jimbo agombee. Hiyo no Reforms...ni kama kanuni isiyoathiri haki yake ya kikatiba..Cjaelewa hata kidogo
Atashindwa kwani kuna ushindani?no reform no elections halafu unasubiri mchakato wa kuligawa jimbo ili ujue utagombea jimbo lipi, surely?
hii habari ya kung'ata na kupuliza itakupa ushindi kweli? Why staki na taka kuelekea uchaguz mkuu gentleman?
kwanini usiwape wananchi wako uhakika kuliko kuwajaza dhana na fikra za kuona hakuna umuhimu wa uchaguz? si utashindwa asubuhi na mapema kabisaa 🐒
no reform no elections halafu unasubiri mchakato wa kuligawa jimbo ili ujue utagombea jimbo lipi, surely?
hii habari ya kung'ata na kupuliza itakupa ushindi kweli? Why staki na taka kuelekea uchaguz mkuu gentleman?
kwanini usiwape wananchi wako uhakika kuliko kuwajaza dhana na fikra za kuona hakuna umuhimu wa uchaguz? si utashindwa asubuhi na mapema kabisaa 🐒
Ule ni uamuzi wa lissu pekee alikurupuka jongwe kauchukua pesa za wazungu asuse wamle nyama!
gentleman,Wewe kweli low thinking.
Mpaka leo hii hujagunfua kuwa program ya No Reform No Election inalenga mabadiliko ya sheria ili kuwe na uchaguzi wa kweli kuliko ushetani kwa jina la uchaguzi? Nguvu hiyo lengo lake kubwa ni kugombea, lakini kugombea kwenye uchaguzi wa kweli, siyo maagizo.
Viongozi wa CHADEMA walikwishatamka kuwa hawatasusia uchaguzi wowote bali watazuia ushetani unaoitwa uchaguzi.
Gentleman,Atashindwa kwani kuna ushindani?
Tatizo unajieleza sana kuliko mnyika mwisho wa siku unachoandika hujui kenge wewe!Pole kwa matatizo ya akili.
No Reform No Election ni uamuzi wa vikao vikuu vya chama kutekeleza matakwa ya wananchi wente akili timamu wasiotaka ushetani kwenye uchaguzi.
Sasa wakipigania reforms zikafanyik watashindaje uchaguzi na hawqjajiandaa wala hawana wagombea?Wasimame na moja. Kupigania reforms au kujiandaa na uchaguzi. Kuruka ruka kutachanganya wafuasi.
Wasimame na moja. Kupigania reforms au kujiandaa na uchaguzi. Kuruka ruka kutachanganya wafuasi.
Njaa tu ndio zinawatesa👿Hawa watu hawaeleweki nawahurumia wanaopoteza muda kuwafatilia
Wacha kupotosha , No reform no election ni uamuzi halali wa chama na umepata baraka zote za vikao husika, Chadema ni chama cha kidemokrasia siyo kama nyie ule upumbavu wenu mliofanya Dodoma mwezi January kumpitisha kihuni Samia na Nchimbi kitendo ambacho kimekigawa CCM na watu wakihoji wanafukuzwa na kutishiwa maisha.Ule ni uamuzi wa lissu pekee alikurupuka jongwe kauchukua pesa za wazungu asuse wamle nyama!