PreGE2025 Joseph Mbilinyi: Tunapush "No Reforms, No Election' kwani lengo ni kugombea kwenye Uchaguzi

PreGE2025 Joseph Mbilinyi: Tunapush "No Reforms, No Election' kwani lengo ni kugombea kwenye Uchaguzi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Gentleman,
Roho wa bwana alie ndani yangu ndie pekee mwalimu na kiongozi wa hatua za mienendo yangu kijamii, kisiasa na kiuchumi,

Neema na Baraka za Mungu zilizo ndani ya moyo wangu, daima zinaniwezesha kwa haraka sana kua tayari kuskia na kutambua sauti ya wito wa Mungu maishani mwangu na juu ya Taifa langu.

Na kwahiyo basi
pepo yeyote anaekuja na ushuhuda wa ramli na ushirikina kama ulivyo wewe gentleman, nakuombea tu huruma ya Mungu na zaidi sana nakuombea msamaha kwa utapeli unaoufanya kwa wadau wa JF.

Zaburi.23:1🐒
Endelea kubisha na nukuu zako uchwara
 
Sawa, ila mapepo yaliyo ccm ni mabaya sana , zingatia hili
ni ushetani kukaa upande wa kupinga mamlaka za dunia zilizotoka kwa Mungu gentleman. Na ndio maana mnatapeliwa kirahisi sana pesa zenu na vibaka na matapeli wa siasi,

ama kwa hakika wajinga ndio waliwao, na watu wa Mungu mnaangamia kwasabb ya kushupaza shingo ndani ya ushetani kwa kukosa maarifa 🐒🐒
 
no reform no elections halafu unasubiri mchakato wa kuligawa jimbo ili ujue utagombea jimbo lipi, surely?

hii habari ya kung'ata na kupuliza itakupa ushindi kweli? Why staki na taka kuelekea uchaguz mkuu gentleman?

kwanini usiwape wananchi wako uhakika kuliko kuwajaza dhana na fikra za kuona hakuna umuhimu wa uchaguz? si utashindwa asubuhi na mapema kabisaa 🐒
Comrade mwenzangu unajua Maana No reform No Election
 
Comrade mwenzangu unajua Maana No reform No Election
Gentleman,
ni utapeli wa vibaka wa siasa, kurubuni wananchi fikra kisayansi na kudhulumu wananchi uhuru na haki zao za kikatiba, ikiwa ni pamoja na kushiriki kikamilifu kwenye michakato ya kidemokrasi kama vile kupiga kura kwenye uchguzi mkuu na kuamua mustakabali wa uongozi wa Taifa lao n.k.

Sugu amegoma kubebwa ufala na atagombea UBUNGE huko mbeya 🐒
 
no reform no elections halafu unasubiri mchakato wa kuligawa jimbo ili ujue utagombea jimbo lipi, surely?

hii habari ya kung'ata na kupuliza itakupa ushindi kweli? Why staki na taka kuelekea uchaguz mkuu gentleman?

kwanini usiwape wananchi wako uhakika kuliko kuwajaza dhana na fikra za kuona hakuna umuhimu wa uchaguz? si utashindwa asubuhi na mapema kabisaa 🐒
Chadema wamechanganyikiwa. Hawajui wanataka nini wala hawataki nini! By the way, hiki ndio ametuletea kutoka America? Ahahahahaha!!
 
no reform no elections halafu unasubiri mchakato wa kuligawa jimbo ili ujue utagombea jimbo lipi, surely?

hii habari ya kung'ata na kupuliza itakupa ushindi kweli? Why staki na taka kuelekea uchaguz mkuu gentleman?

kwanini usiwape wananchi wako uhakika kuliko kuwajaza dhana na fikra za kuona hakuna umuhimu wa uchaguz? si utashindwa asubuhi na mapema kabisaa 🐒
Wameshasambaratika
 
August looks confused…. Mudomoni yuko na domokaya, moyoni yuko na baba ndubwi
 
Back
Top Bottom