PreGE2025 Joseph Mbilinyi: Tunapush "No Reforms, No Election' kwani lengo ni kugombea kwenye Uchaguzi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Hata mwaka 2020 baada ya uchaguzi walitutangazia kuwa no reform no election matokeo yake 2024 walishiliki na kupigwa vibaya kama bado hujaijua michezo ya wanasiasa endelea kupoteza muda wako kuwafatilia
 
Hata mwaka 2020 baada ya uchaguzi walitutangazia kuwa no reform no election matokeo yake 2024 walishiliki na kupigwa vibaya kama bado hujaijua michezo ya wanasiasa endelea kupoteza muda wako kuwafatilia
Kwa mtu mwenye akili timamu hawezi kuita kilichofanyika November 2024 kuwa ni uchaguzi. Chadema walishiriki 2024 kwa vile Samia na 4R zake aliahidi kuwa kilichofanyika 2019 na 2020 hakitajirudia tena lakini wote tuliona 2024 hali ilikuwa mbaya zaidi kuliko hata ile ya 2019 kwani wagombea wa Chadema waliuwawa kwa kupigwa risasi na polisi wakati 2019 uchaguzi ulifutwa jumla na kuipa CCM ushindi bandia wa 100% lakini hakuna aliyeuwawa.Wakati mwingine mnapojadili habari hizi muvae nyuso za kibinadamu na msiongozwe na ushabiki wa CCM na chuki kwa wapinzani.
 
Kaa kimya huna ujualo!
 
Sehemu utamwona Magu wa maana ni ktk huu upumbavu wa kugawa maeneo ya utawala ili tu kuna watu wanatafutiwa majimbo bila kujali mzigo wa gharama watakaoubeba watanzania. Leo ndio najua kwanini watanzania hawamkubali Tulia, ni mbinafsi hana uzalendo badala amshauri Rais ye ndio kwanza anajigawia eneo kwa woga wa kushindwa kwenye uchaguzi ujao. Magu miaka 10 aliahidi kutokugawa kipande hata kimoja huu mzanzibari anatuletea nini? Badala wajenge miundo mbinu kwanini wagawe maeneo? Vijana hawana ajira Rais unachezea hela. Angeachana na huo upuuzi
 
Sioni hamasa ya kushawishi watu wao kujiandikisha na kuboresha taarifa zao katika daftari la kudumu la wapiga kura.
 
Rango anamuogopa sana Sugu ngoma ikiwa free and fair akisimamishwa na Sugu hapati hata 10% za kura.
 
Wewe chawa kweli ni kilaza.
 
Wewe chawa kweli ni kilaza.
nini kilaza gentleman,
kati ya huyo kibaka wa siasa anaedai no reform no elections dhidi ya huyo muerevu aliegoma kubebwa ufala anae subiri jimbo kugawanywa na hatimae agombee?πŸ’
 
CHADEMA wa mwaka huu wamekosa maarifa
 
Mkuu Bwana anakutaka kaa kimia juu ya siasa kwa miezi 4 , na kuamia chama chochote ambacho kipo na uwezo kulingana na karma Bwana amekupa tangu utotoni , nawakilisha sio ujumbe wangu asema Bwana , ukidharau kwamba ni propaganda za jf za kila siku , ni mahamuzi yaako ,mimi nimefikisha ujumbe wako ulivyo,
 
Gentleman,
Roho wa bwana alie ndani yangu ndie pekee mwalimu na kiongozi wa hatua za mienendo yangu kijamii, kisiasa na kiuchumi,

Neema na Baraka za Mungu zilizo ndani ya moyo wangu, daima zinaniwezesha kwa haraka sana kua tayari kuskia na kutambua sauti ya wito wa Mungu maishani mwangu na juu ya Taifa langu.

Na kwahiyo basi
pepo yeyote anaekuja na ushuhuda wa ramli na ushirikina kama ulivyo wewe gentleman, nakuombea tu huruma ya Mungu na zaidi sana nakuombea msamaha kwa utapeli unaoufanya kwa wadau wa JF.

Zaburi.23:1πŸ’
 
Nimekutana na hiyo kitu....ni kama dude litaivuruga CDM. # No Reforms No eEection ..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…