4 7mbatizaji
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 11,613
- 13,543
Endelea kubisha na nukuu zako uchwaraGentleman,
Roho wa bwana alie ndani yangu ndie pekee mwalimu na kiongozi wa hatua za mienendo yangu kijamii, kisiasa na kiuchumi,
Neema na Baraka za Mungu zilizo ndani ya moyo wangu, daima zinaniwezesha kwa haraka sana kua tayari kuskia na kutambua sauti ya wito wa Mungu maishani mwangu na juu ya Taifa langu.
Na kwahiyo basi
pepo yeyote anaekuja na ushuhuda wa ramli na ushirikina kama ulivyo wewe gentleman, nakuombea tu huruma ya Mungu na zaidi sana nakuombea msamaha kwa utapeli unaoufanya kwa wadau wa JF.
Zaburi.23:1π
pepo ulie nae ana makengeza gentleman, ushirikiana ni utumwa mbaya wa kimaskini sana aise πEndelea kubisha na nukuu zako uchwara
Sawa, ila mapepo yaliyo ccm ni mabaya sana , zingatia hilipepo ulie nae ana makengeza gentleman, ushirikiana ni utumwa mbaya wa kimaskini sana aise π
ni ushetani kukaa upande wa kupinga mamlaka za dunia zilizotoka kwa Mungu gentleman. Na ndio maana mnatapeliwa kirahisi sana pesa zenu na vibaka na matapeli wa siasi,Sawa, ila mapepo yaliyo ccm ni mabaya sana , zingatia hili
Comrade mwenzangu unajua Maana No reform No Electionno reform no elections halafu unasubiri mchakato wa kuligawa jimbo ili ujue utagombea jimbo lipi, surely?
hii habari ya kung'ata na kupuliza itakupa ushindi kweli? Why staki na taka kuelekea uchaguz mkuu gentleman?
kwanini usiwape wananchi wako uhakika kuliko kuwajaza dhana na fikra za kuona hakuna umuhimu wa uchaguz? si utashindwa asubuhi na mapema kabisaa π
Gentleman,Comrade mwenzangu unajua Maana No reform No Election
Chadema wamechanganyikiwa. Hawajui wanataka nini wala hawataki nini! By the way, hiki ndio ametuletea kutoka America? Ahahahahaha!!no reform no elections halafu unasubiri mchakato wa kuligawa jimbo ili ujue utagombea jimbo lipi, surely?
hii habari ya kung'ata na kupuliza itakupa ushindi kweli? Why staki na taka kuelekea uchaguz mkuu gentleman?
kwanini usiwape wananchi wako uhakika kuliko kuwajaza dhana na fikra za kuona hakuna umuhimu wa uchaguz? si utashindwa asubuhi na mapema kabisaa π
Wameshasambaratikano reform no elections halafu unasubiri mchakato wa kuligawa jimbo ili ujue utagombea jimbo lipi, surely?