Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
👏👏 Hongera Kamanda.Joseph Mussa Mahindoni
Yawezekana amechaguliwa na wajumbe wa mkoa which make sense to meWapiga kura 19 wanamchagua Kiongozi wa Mkoa? Ahahahahaha!!
Yaani nimecheka kidogo nimwage Konyagi yangu! Ahahahahaha!!!
mwenzangu! ukishangaa ya mussa utayaona ya cdm, hivi hawa jamaa wanakatiba kweli?Wapiga kura 19 wanamchagua Kiongozi wa Mkoa? Ahahahahaha!!
Yaani nimecheka kidogo nimwage Konyagi yangu! Ahahahahaha!!!
wajumbe 19? ila naona wana nyota na 19Yawezekana amechaguliwa na wajumbe wa mkoa which make sense to me
Kama ni wa mkoa ni sawa kwangu...wajumbe 19? ila naona wana nyota na 19
Ahahahahaha! Wapiga kura 19 kumchagua Kiongozi wa Mkoa? Ahahahahaha! Bonge la demokrasia Chadema inatufundisha hapa! 👏👏👏👏!!!Yawezekana amechaguliwa na wajumbe wa mkoa which make sense to me
Katiba ya Chadema sasa hivi ni kile anachowaza Mwenyekiti Lissu! Ahahahahaha!!mwenzangu! ukishangaa ya mussa utayaona ya cdm, hivi hawa jamaa wanakatiba kweli?
Samia alichaguliwa na watu wangapi ili agombee urais 2025?Wapiga kura 19 wanamchagua Kiongozi wa Mkoa? Ahahahahaha!!
Yaani nimecheka kidogo nimwage Konyagi yangu! Ahahahahaha!!!
Wawili!Samia alichaguliwa na watu wangapi ili agombee urais 2025?
Nimesema yawezekana labda ni wajumbe...Ahahahahaha! Wapiga kura 19 kumchagua Kiongozi wa Mkoa? Ahahahahaha! Bonge la demokrasia Chadema inatufundisha hapa! 👏👏👏👏!!!
Kama ni wawili kinachokufanya ucheke wa 19 ni nini?Wawili!
Katiba ipo kwenye vichwa vyao hawana katiba iliyoandikwamwenzangu! ukishangaa ya mussa utayaona ya cdm, hivi hawa jamaa wanakatiba kweli?
Covid19wajumbe 19? ila naona wana nyota na 19
Yaani 19 ni wengi mno kuwakilisha Mkoa. Wangekuwa wawili au watatu wangetosha Mkuu! Ahahahahaha!!!Kama ni wawili kinachokufanya ucheke wa 19 ni nini?
haha🤣🤣 zidumu fikra za mwenyekitiKatiba ya Chadema sasa hivi ni kile anachowaza Mwenyekiti Lissu! Ahahahahaha!!
Unacheka cheka umelewa?Katiba ya Chadema sasa hivi ni kile anachowaza Mwenyekiti Lissu! Ahahahahaha!!
Kejeli za kiccm hizo.Yaani 19 ni wengi mno kuwakilisha Mkoa. Wangekuwa wawili au watatu wangetosha Mkuu! Ahahahahaha!!!
Wawili! 19 wengi mno! Ahahahahaha!!!Unacheka cheka umelewa?
Tupe muongozo, inatakiwa wajumbe wangapi?