Librarian 105
JF-Expert Member
- May 6, 2023
- 261
- 356
Mbunge wa Geita, Josephu Musukuma, wakati unapotoa ushauri kwa vyombo vya ulinzi na usalama kuwachukulia hatua wanaopotosha mkataba wa Dubai Port World na Tanzania Ports Authority.
Ni vyema pia ukapigania bunge lijadili kwa uwazi kila kipengele cha mkataba huo pasina na shinikizo la uchama ili wananchi wapate kuufahamu vyema.
Watu sio wanaupotosha bali umekua ni wa usiri na inavyoelekea ni kama bunge linataka kutumiwa kama muhuri kuuridhia.
Hili jambo tayari limeamsha hisia za umma hivyo maslahi ya taifa yazingatiwe.