Joseph Musukuma, usiangalie upande mmoja tu wa sarafu

Librarian 105

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2023
Posts
261
Reaction score
356
Mbunge wa Geita, Josephu Musukuma, wakati unapotoa ushauri kwa vyombo vya ulinzi na usalama kuwachukulia hatua wanaopotosha mkataba wa Dubai Port World na Tanzania Ports Authority.

Ni vyema pia ukapigania bunge lijadili kwa uwazi kila kipengele cha mkataba huo pasina na shinikizo la uchama ili wananchi wapate kuufahamu vyema.

Watu sio wanaupotosha bali umekua ni wa usiri na inavyoelekea ni kama bunge linataka kutumiwa kama muhuri kuuridhia.

Hili jambo tayari limeamsha hisia za umma hivyo maslahi ya taifa yazingatiwe.
 
Kweli unapoteza muda kweli Kwa mtu kama Msukuma??
 
Huu ni upumbavu wa kutishiana dola kwenye dunia hii ya utandawazi, mbunge kama anaona kuna watu wanavunja sheria aende police akafungue docket, police hawawezi kukamata mtu bila docket, na kuwa linked na crime scene, Tanzania hii ina watu vihiyo mno
 
ndo madhara ya phd za heshima
 
Ha ha ha
Makamu wa raisi ndio alikuwa mshauri wa raisi. Alimshauri Rais vizuri wakati wa Covid 19 hatukufungiwa ndani.

Raisi sasa ameruhusu mikutano, amefungua vyombo vya habari, hakuna mwandishi aliefungwa.

Ha ha ha ha Lugha gongana kweli kweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…