peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
Kwa mateso wanayoyapata wananchi wa kanda ya ziwa baada ya kifo cha mpendwa wao, ni wazi wananchi wa Geita hawamuelewi Joseph Musukuma anakotaka kuwapeleka.
Hadi sasa wananchi wa Geita vijijini wanatembea kms 120 kutoka katoro kwenda makao makuu ya wilaya ambapo ni Nzera alikohamishia Ofisi Musukuma.
Leo anamkosoa Dr Bashiru Ally Kakurwa? ETI mama Ana upiga mwingi?
Ni wazi Hakuna kilichofanyika Jimbo la Joseph Musukuma tangu JPM alipofariki, Leo anamtetea Samia kwa lipi?
Jimbo lote la Joseph Musukuma halina maji Wala barabara ya nusu kms Za lami, Leo anamtetea Samia?
Joseph Musukuma anatumiwa na ccm kuweka Hali ya hewa sawa mkoa wa Geita ila haiwezekani Hata kidogo.
Kuna barabara ipo kwenye ilani ya ya ccm kutengenezwa kutoka Geita hadi Kahama , ni vumbi naa as Mashingo mwanzo mwisho kms 58 tu, ccm na serikali yake imeshindwa kuiweka lami kipindi cha awamu ya sita, Joseph Musukuma huoni hilo?
Joseph Musukuma mkoa wa geita ulitapeliwa na Waziri wa nishati kuwa umepatiwa 57 bilioni Za kusambaza umeme vijini , hadi leo Hakuna umeme na hakuna fedha, Joseph Musukuma huoni hilo?
Joseph Musukuma kituo cha afya katoro wamama wanajifungua wakiwa wamelala watatu kitanda kimoja , hilo Bali hujaliona awamu hii ya sita?
Ujambazi na mauaji yamezidi mkoa wa Geita awamu hii ya sita, Joseph Musukuma huoni hilo?
Joseph Musukuma , barabara ya nzera ( jimboni kwako)hadi sengerema ipo kwenye ilani ya ccm kutengenezwa kwa Kiwango cha lami, ila awamu ya sita imeshindwa. Joseph Musukuma huoni hilo?
Joseph Musukuma barabara kutoka Geita hadi Jimboni kwako nzera makao makuuya wilaya kms 50 ni vumbi na mashimo na Hakuna majengo ya Halmashauri wala nyumba Za kuishi watumishi, awamu ya sita imeshindwa kulifanyia kazi. Huoni hilo?
Joseph Musukuma , Kijiji cha kamwanga kiko jimboni kwako Hakuna maji, umeme, soko, barabara ya kwenda huko Wala hakuna shule Wala kituo cha afya. Awamu ya sita imeshindwa kukusaidia. Huoni hilo?
Joseph Musukuma huko Nzera wavuvi wanalia na kuzurura tu hawana vifaa vya kuvua samaki, una habari hizo?
Joseph Musukuma, wakazi wa Jimbo lako wanaishiekwa kuuza mikaa Ili wapate mlo wa siku, na msitu wa Geita sasa umeisha wataushije? Una habari hizo?
Joseph Musukuma fika kata ya Nyamatagata iliyoko Jimboni kwako, Hakuna umeme, maji , kituo cha afya Wala barabara una habari hizo?