Mathanzua
JF-Expert Member
- Jan 4, 2017
- 17,251
- 22,929
Ulitaka awe na hekima gani, awafichie siri adui zetu wanaotuua kwa hila,pumbafu ni wewe.Ndugu zako wanauliwa halafu unakenua tu,shenzi kabisa.Moumbavu huyu jamaa...
Hana hekima ya kinywa..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulitaka awe na hekima gani, awafichie siri adui zetu wanaotuua kwa hila,pumbafu ni wewe.Ndugu zako wanauliwa halafu unakenua tu,shenzi kabisa.Moumbavu huyu jamaa...
Hana hekima ya kinywa..
Wampitishe tu,hizo ndizo type of exposé tunazotaka.Viva Comrade Msukuma.2025 CCM watampitisha akagombee tena Watanzania ni wajinga sana huyu nae ni Mbunge.
Huyu ngosha naye bangi zinampeleka resi sana.Wakati akichangia hotuba ya bajeti ya Wizara ya Afya bungeni Dodoma, Dr Msukuma ameshangaa mabinti wa miaka 10 tu kuwa na maziwa yaliyotutumuka kiasi cha kuhitaji kuvaa sidiria.
Amedai utafiti huo ameufanya huko mashuleni na kuwaomba wabunge wengine nao waende wakafanye ili kujiridhisha. Sitaki kuwapotezea muda na maneno mengi, hebu msikilize nyinyi wenyewe kwenye video klipu hapo chini.
MAONI YANGU
Namuunga mkono daktari Msukuma kwa asilimia zote. Siku hizi ukikutana na binti wa miaka 10 njiani ukimuangalia kifuani hadi unaogopa na kuona aibu. Na sio mabinti tu, hata wanaume nao wana chuchu kubwa mithiri ya wanawake
Kuna uwezekano mkubwa wazungu wanatuwekea homoni za ushoga kwenye chanjo. Hili suala liangaliwe kwa undani kwani sio mara ya kwanza kusikia ushuhuda huu hapa nchini. Tusibeze wala kudharau kwani mdharau mwiba mguu huota tende. Waziri Ummy Mwalimu tunakuomba uzifanyie utafiti hizi chanjo za bure za wazungu zisije zikatuletea shida hapo baadaye.
Pia soma: Shekhe aipinga vikali chanjo ya malaria mbele ya Waziri wa Afya, kisa ushoga; hamuogopi mtu yeyote!
View attachment 2989832
Hakuna chanjo ya bure zaidi ya uvik19,zingine zote serikali inalipa ama kuchangia gharama.Wakati akichangia hotuba ya bajeti ya Wizara ya Afya bungeni Dodoma, Dr Msukuma ameshangaa mabinti wa miaka 10 tu kuwa na maziwa yaliyotutumuka kiasi cha kuhitaji kuvaa sidiria.
Amedai utafiti huo ameufanya huko mashuleni na kuwaomba wabunge wengine nao waende wakafanye ili kujiridhisha. Sitaki kuwapotezea muda na maneno mengi, hebu msikilize nyinyi wenyewe kwenye video klipu hapo chini.
MAONI YANGU
Namuunga mkono daktari Msukuma kwa asilimia zote. Siku hizi ukikutana na binti wa miaka 10 njiani ukimuangalia kifuani hadi unaogopa na kuona aibu. Na sio mabinti tu, hata wanaume nao wana chuchu kubwa mithiri ya wanawake
Kuna uwezekano mkubwa wazungu wanatuwekea homoni za ushoga kwenye chanjo. Hili suala liangaliwe kwa undani kwani sio mara ya kwanza kusikia ushuhuda huu hapa nchini. Tusibeze wala kudharau kwani mdharau mwiba mguu huota tende. Waziri Ummy Mwalimu tunakuomba uzifanyie utafiti hizi chanjo za bure za wazungu zisije zikatuletea shida hapo baadaye.
Pia soma: Shekhe aipinga vikali chanjo ya malaria mbele ya Waziri wa Afya, kisa ushoga; hamuogopi mtu yeyote!
View attachment 2989832
MSUKUMAAA ASIJESGUSAAA TU KUKUKUU ZETU ZA WIKI 3 MAANA AMESAHAU HAYA MAZIWA YA WATOTO SRC N HAYA MAKUKU NA YALE MAYAIII NDUGU MENGINE WANAWEKA ARV WENGINE DAWA ZA......MAJIRA ANYWAY SITAKI SEMA.MENGIKWELIIIIKABISAAAA KABISAAAA AISEE WEE JAMAA UNGEFIKA CHUO KHAAAA
Since you're his eyewitness, let's start with you bringing a copy of his research. Just claiming that "he conducted research" without you bring the copy" for me it is just saying nothing. The justification is the research you claim he has conducted. By just saying he has conducted research doesn't make him conduct any research. For me it remains to be hearsay until you bring the copy. I'm waiting for it.Let us do our own research and prove him wrong,just saying
he has not carried out the right type of research to be able to make the conclusions he is making is not the way, kwa kuwa ni kweli wanaweka hormones kwenye pipi,dawa za kuswakia,vyakula vya misaada,chanjo nk.nk.,we know it,and we have evidence,so lazima tuwe makini.Hivi umeshawahi kusikia Contraceptive Maize wewe,mahindi hayo yapo👉GM corn set to stop man spreading his seed
But seriously,is it right to use fertilizers,planned parenthood drugs or pills,pharmaceuticals,Fluoride in water or Toothpaste,Pesticides,Vaccines,Plastics,Paints,Roofing Material,Tiles,Tarmac,Gasoline,Diesel,Lead in Gasoline,On the Shelf Foods,Beverages the types of Coca Cola and Pepsi etc.,Tobacco,
Industrial Juices,
Chlorine in water etc.etc.without knowing their short and long effects on our health?
Let me say this without mincing words,it is stupid and lunatic to use anything without knowing its health hazards,and because of this lunacy we have sadly destroyed generations of our people.For how long we will follow this extremely dangerous path remains to be seen,but there is need for change, not later,but now.
thinkerMnashindwa kujali Afya mnasingizia wazungu .
Mnakula bila mpangilio ,hamjali Afya zenu mkiota vitambi ,matiti mwili kuumuka lawama kwa wazungu.
I think he was just waking up from sleep and "sees people like trees"Awfully im wondering to read this kind of sentiment from a senior member of GTs!!
Are you just an activist against your GOT or just a normal citizen like me wishing to have some positives changes that make sense??
Why he pin points on Vaccines whereas we import a bunch of items from those whites??
Why not Contraceptive pills? Why not GMO/Canned food and drinks?
What about those yung girls/boys who show up their secondary sexual characters in the late adolescence?? What're the drawbacks?
HatariiiiiBunge la JMT [emoji209]
Listen Magobe,I am a scientist and a researcher.Sometimes we develop research proposals out of heresay.You here people saying something causes illness in people or disease in a certain crop,you take up the idea and do research on it. We have developed technologies through such research.So you don't scorn off and ignore an observation outight,it is wrong and unscientific.Technologies are developed out of "hypotheses." What Msukuma put forward is a hypothesis,it has to be proved or disproved by Scientific Research.Since you're his eyewitness, let's start with you bringing a copy of his research. Just claiming that "he conducted research" without you bring the copy" for me it is just saying nothing. The justification is the research you claim he has conducted. By just saying he has conducted research doesn't make him conduct any research. For me it remains to be hearsay until you bring the copy. I'm waiting for it.
Gaysterone hormonesSwali, Homoni za ushoga zinaitwaje kitaalam?
Maoni, Dunia imebadirika wapunguzieni lawama wazungu.
Lengo, Tuijenge Tanganyika yetu.
Mkuu uliona serikali ikioandika Cheque,au ni mawazo yako tu.Chanjo ni misaada ya wafadhili mkuu,ila be sure hakuna cha bure.Western Governments wametumaliza through what we call "aid," it is not aid at all, but outright conspiracy for murder.We must wake up.Hakuna chanjo ya bure zaidi ya uvik19,zingine zote serikali inalipa ama kuchangia gharama.
Pia wanasiasa acheni kupotosha chanjo hizo ni salama.
Upo ukweli. .
Mamdenyi you are right.I am a scientist and a researcher.Sometimes we develop research proposals out of heresay.You here people saying something causes illness in people or disease in a certain crop,you take up the idea and do research on it. We have developed technologies through such research.So you don't scorn off and ignore an observation outight,it is wrong and unscientific.Technologies are developed out of "hypotheses." What Msukuma put forward is a hypothesis,it has to be proved or disproved by Scientific Research.expand...
siku ukifanya kautafiti Kilimanjaro kidogo utaanza kumuelewa.Aache uongo mtoto gani ana miaka 10 ana matiti yamelala,sijawahi kuona toka kuzaliwa vitoto vya miaka 10 ni vidogo mno viko la nne au la tano.