Joseph Musukuma: Wazungu wanatuwekea ushoga kwenye chanjo; haiwezekani binti wa miaka 10 avae sidiria

Moumbavu huyu jamaa...
Hana hekima ya kinywa..
Ulitaka awe na hekima gani, awafichie siri adui zetu wanaotuua kwa hila,pumbafu ni wewe.Ndugu zako wanauliwa halafu unakenua tu,shenzi kabisa.
 
Huyu ngosha naye bangi zinampeleka resi sana.
 
Hakuna chanjo ya bure zaidi ya uvik19,zingine zote serikali inalipa ama kuchangia gharama.

Pia wanasiasa acheni kupotosha chanjo hizo ni salama.
 
Kwamba kuota maziwa mapema ni ushoga? Na hiyo chanjo inabagua kwa sababu wengine hawana hayo matiti? Baada ya Msukuma kugundua matiti aligundua vilevile wameanza ushoga?
 
KWELIIIIKABISAAAA KABISAAAA AISEE WEE JAMAA UNGEFIKA CHUO KHAAAA
MSUKUMAAA ASIJESGUSAAA TU KUKUKUU ZETU ZA WIKI 3 MAANA AMESAHAU HAYA MAZIWA YA WATOTO SRC N HAYA MAKUKU NA YALE MAYAIII NDUGU MENGINE WANAWEKA ARV WENGINE DAWA ZA......MAJIRA ANYWAY SITAKI SEMA.MENGI
 
Since you're his eyewitness, let's start with you bringing a copy of his research. Just claiming that "he conducted research" without you bring the copy" for me it is just saying nothing. The justification is the research you claim he has conducted. By just saying he has conducted research doesn't make him conduct any research. For me it remains to be hearsay until you bring the copy. I'm waiting for it.
 
I think he was just waking up from sleep and "sees people like trees"
 
Listen Magobe,I am a scientist and a researcher.Sometimes we develop research proposals out of heresay.You here people saying something causes illness in people or disease in a certain crop,you take up the idea and do research on it. We have developed technologies through such research.So you don't scorn off and ignore an observation outight,it is wrong and unscientific.Technologies are developed out of "hypotheses." What Msukuma put forward is a hypothesis,it has to be proved or disproved by Scientific Research.
 
Hakuna chanjo ya bure zaidi ya uvik19,zingine zote serikali inalipa ama kuchangia gharama.

Pia wanasiasa acheni kupotosha chanjo hizo ni salama.
Mkuu uliona serikali ikioandika Cheque,au ni mawazo yako tu.Chanjo ni misaada ya wafadhili mkuu,ila be sure hakuna cha bure.Western Governments wametumaliza through what we call "aid," it is not aid at all, but outright conspiracy for murder.We must wake up.
 
Upo ukweli. .
expand...
Mamdenyi you are right.I am a scientist and a researcher.Sometimes we develop research proposals out of heresay.You here people saying something causes illness in people or disease in a certain crop,you take up the idea and do research on it. We have developed technologies through such research.So you don't scorn off and ignore an observation outight,it is wrong and unscientific.Technologies are developed out of "hypotheses." What Msukuma put forward is a hypothesis,it has to be proved or disproved by Scientific Research.
 
Aache uongo mtoto gani ana miaka 10 ana matiti yamelala,sijawahi kuona toka kuzaliwa vitoto vya miaka 10 ni vidogo mno viko la nne au la tano.
siku ukifanya kautafiti Kilimanjaro kidogo utaanza kumuelewa.
 
Huyu msukuma sifa zimezidi sasa anaongea pumba.
Miili inatofautiana sana. Hapo ukiweka watoto wenye miaka 10 nchi nzima kuna ambao vifua vipo flat, kuna ambao tunaanza kuchomoza na kuna ambao wana matiti makubwa. Ni maumbile tu.

Hata yeye atafute age mate wake atakuta kuna wengine wazee zaidi yake na wengine vijana zaidi yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…