Joseph Musukuma: Wazungu wanatuwekea ushoga kwenye chanjo; haiwezekani binti wa miaka 10 avae sidiria

Utafiti wa kipumbavu sana ina maana alikuwa anaulizq miaka halafu anachungulia vifuani mwa watoto
Bila shaka alikuwa anawavua sidiria ili kuangalia ukubwa wa ziwa. Ovyo kabisa!
 
Elimu elimu elimu... angekua na shule angejua namna ya kupangilia hoja zake bila kuonekana zero brain
Kwani Dr Msukuma (PhD) hana elimu mkuu. Sasa mtu anakuwaje na PhD halafu akose elimu?
 
Kwani Dr Msukuma (PhD) hana elimu mkuu. Sasa mtu anakuwaje na PhD halafu akose elimu?
Ungekua na akili timamu ungejua kuna PhD ya kuikalia darasana na PhD ya heshima which can be bought... sawa?
 
Here we are not talking about what people say (hearsay), we are talking about what Msukuma says that he has conducted research and his findings show that girls who have enlarged breasts have been immunised by vaccines from the West. If you join the debate and support this claim, my request to you is, please, attach a copy of this research if it is available online to this post. Otherwise, my stand is that Msukuma hasn't conducted any research in this area. Just claiming that he has conducted research is not the same as conducting research. Research is more than a claim a person can make. This is my position.
 
You are a laymen,kwaheri.
 
Ndugu, don't commit this fallacy. You, by being scientist and researcher doesn't make Musukuma conduct research! Unless you say that you were his supervisor for the research he conducted.
 
Kwa hiyo amekubali kuwa chanjo zina viashiria vya ushoga ...what if wananchi wakikataa chanjo.....
Ni vizuri hoja za wabunge kabla ya kuwasilishwa bungeni zikachujwa ili kuepuka maoni binafsi yasiyo na utafiti wa kutosha.
 
Kwa hiyo amekubali kuwa chanjo zina viashiria vya ushoga ...what if wananchi wakikataa chanjo.....
Ni vizuri hoja za wabunge kabla ya kuwasilishwa bungeni zikachujwa ili kuepuka maoni binafsi yasiyo na utafiti wa kutosha.
Tena huyu ambaye huwa anawadharau wasomi, eti leo ndiye anataka tumuone kama yeye ndiye msomi pekee (nadhani). Mimi simo kabisa!
 
Teh teh teh πŸ˜ƒ πŸ˜ƒ πŸ˜ƒ noma Sana hii...
 
Hahahaaaa, aliwashirikisha akina nani kwenye utafiti wake? Au aliwachungulia yeye mwenyewe?

Ila kiukweli vitoto vya siku hizi vina maumbile ya kipekee sana bado vidogooo!
Chakula wanachokula, lifestyle yao na kila kitu vinachangia. Watoto wa vijijini wengine wanafikisha miaka 13 hawajavunja ungo lakini wa mijini hasa wale wanaotoka kwenye familia za kati na juu, miaka 10 tayari.
 


Mambo ya afya ni serious na sio kiki au vichekesho. Kuna watu walikufa wakati wa Covid kwa uongo wa wanasiasa. Tumpuuze kwenye hili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…