Joseph Selasini: CCM wajinga peke yao ambao hawaelewi upinzani imara unazalisha CCM imara zaidi

Kusini pride

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2022
Posts
1,762
Reaction score
4,079
Anaandika Joseph Selasini, aliyekuwa mbunge wa Chadema katika jimbo la Rombo (2010-2020).

Mbowe anatia aibu.

Hao wafuasi wake waliimba kwamba uchaguzi wao ni mfano wa kuigwa. Kumbe dhamira ni yeye na genge lake kuendelea kuiatamia na kuiongoza Chadema kama familia.

Waliofungua hii kesi hata nauli ya kufika Dar na kurudi wanachangiwa. Kula na malazi nayo wanachangiwa kama yule jamaa aliyepangishiwa appartment. Huo ni mkakati ba wsmetangulizwa nyuma yao yupo anasikilizia na kupima kinachoendelea.

Wote hao na waliokimbilia ubwabwa walikuwa wafuasi wake watiifu wakila na kunywa pamoja nae na baadhi tunawajua kama shemeji zetu. Unadhani kiti cha walemavu bungeni kupewa mtu mzima ilikuwa jambo la kawaida?

Kauli yake kwao ingetosha kuwatuliza au hata angeamua kuhudhuria kikao kimoja cha kamati kuu au kuhudhuria kesi ya Mkiti wake mara moja dunia ingemuelewalakini ameamua kuharibu (kwa kusudi au kwa kutotimiza wajibu kama mzee na kiongozi mstaafu) alichoanzisha mkwewe Edwin Mtei, Bron Ngululupi, Bob Makani nk kwa kuwa hana uchungu nacho; chama kilianza akiwa anapiga pesa BOT.

Sishangai wengine kujitwika utetezi wa Mbowe kama mpinzani kumbe nyuma yake wana hasira ya yeye na wao kushindwa uchaguzi huku wanachama na mashabiki wengi wakiacha ktk mshangao.

Ni mpinzani mpumbavu na mjinga anayefurahia chama chochote kuvunjika.

Zaidi ni CCM wajinga peke yao ambao hawaelewi upinzani imara unazalisha CCM imara zaidi.

Unawezaje kuruhusu vyama kuwepo kisha ukavizuia kufanya kazi yake ya siasa?
 
Aisee ngoja tuone kama wanashindana na nyakati na wakashinda
 
Mwenyekiti wake alimwambia mbele ya kikao cha kamati kuu, "go on leave, take a very long sabbatical ".

Nadhani amefuata ushauri wake kwa asilimia 100.
 
Anaandika Joseph Selasini, aliyekuwa mbunge wa Chadema katika jimbo la Rombo (2010-2020).

Mbowe anatia aibu.

Hao wafuasi wake waliimba kwamba uchaguzi wao ni mfano wa kuigwa. Kumbe dhamira ni yeye na genge lake kuendelea kuiatamia na kuiongoza Chadema kama familia.

Waliofungua hii kesi hata nauli ya kufika Dar na kurudi wanachangiwa. Kula na malazi nayo wanachangiwa kama yule jamaa aliyepangishiwa appartment. Huo ni mkakati ba wsmetangulizwa nyuma yao yupo anasikilizia na kupima kinachoendelea.

Wote hao na waliokimbilia ubwabwa walikuwa wafuasi wake watiifu wakila na kunywa pamoja nae na baadhi tunawajua kama shemeji zetu. Unadhani kiti cha walemavu bungeni kupewa mtu mzima ilikuwa jambo la kawaida?

Kauli yake kwao ingetosha kuwatuliza au hata angeamua kuhudhuria kikao kimoja cha kamati kuu au kuhudhuria kesi ya Mkiti wake mara moja dunia ingemuelewalakini ameamua kuharibu (kwa kusudi au kwa kutotimiza wajibu kama mzee na kiongozi mstaafu) alichoanzisha mkwewe Edwin Mtei, Bron Ngululupi, Bob Makani nk kwa kuwa hana uchungu nacho; chama kilianza akiwa anapiga pesa BOT.

Sishangai wengine kujitwika utetezi wa Mbowe kama mpinzani kumbe nyuma yake wana hasira ya yeye na wao kushindwa uchaguzi huku wanachama na mashabiki wengi wakiacha ktk mshangao.

Ni mpinzani mpumbavu na mjinga anayefurahia chama chochote kuvunjika.

Zaidi ni CCM wajinga peke yao ambao hawaelewi upinzani imara unazalisha CCM imara zaidi.

Unawezaje kuruhusu vyama kuwepo kisha ukavizuia kufanya kazi yake ya siasa?
Huyu jamaa ni shida, ni wale wale ali tumiwa na ccm kumdhulumu Mbatia, sasa ana tuambia ujinga gani hapa?? Pimbi tuu huyu.
 
Hivi huyu mpaka hina si ndiye alikuwa amefanya mapinduzi NCCR Mageuzi na kumtoa Mbatia kwa nguvu
 
E

Unawezaje kuruhusu vyama kuwepo kisha ukavizuia kufanya kazi yake ya sias spana
 
Wapinzani wa Nchi hii wemgi wao wachumia tumbo.hawapo kwa ajili ya kuleta mageuzi ya kweli
Lissu tu ndie mpinzani wa kweli wengine wapiga dili tu
 
Back
Top Bottom