Joseph Selasini hatogombea ubunge wa Jimbo la Rombo kwa tiketi ya CHADEMA

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
143,138
Reaction score
288,731
Hii ni kwa sababu hayumo kwenye orodha ya watia nia ya kugombea ubunge wa jimbo hilo iliyowasilishwa kwenye ofisi ya Katibu Mkuu , kama utaratibu wa Chadema unavyoelekeza.

Chadema iliwaelekeza wanachama wake wenye lengo la kugombea udiwani au ubunge kujaza fomu maalum ya kutia nia ya kugombea na kuiwasilisha kwenye ofisi ya Katibu Mkuu , Selasini na Mzee Lwakatare hawakujaza fomu hizi huku Lwaks akitangaza kustaafu .
 
Walau asubirie Bunge livunjwe, achukue mafao yake halafu achague cha kufanya baada ya hapo au hata pa kwenda. Ila siyo na yeye afanye mambo ya kitoto kama wale wengine, huku akiwa ni mtu mwenye staha zake kwenye jamii.
 
Kwasasa tunawaza misiba ya mfululizo hebu tupumzishe na siasa zako mkuu
.
IMG-20200428-WA0065.jpg

Jr[emoji769]
 
Hii ni kwa sababu hayumo kwenye orodha ya watia nia ya kugombea ubunge wa jimbo hilo iliyowasilishwa kwenye ofisi ya Katibu Mkuu , kama utaratibu wa Chadema unavyoelekeza.

Chadema iliwaelekeza wanachama wake wenye lengo la kugombea udiwani au ubunge kujaza fomu maalum ya kutia nia ya kugombea na kuiwasilisha kwenye ofisi ya Katibu Mkuu , Selasini na Mzee Lwakatare hawakujaza fomu hizi huku Lwaks akitangaza kustaafu .
Selasini anatembelea nyota ya Masumbuko Lamwai!
 
Kweli Duniani kila mtu anaishi kwenye Dunia yaek, yaani Selasini pamoja na hhi Corona anawaza Ubunge 2020?
 
Hii ni kwa sababu hayumo kwenye orodha ya watia nia ya kugombea ubunge wa jimbo hilo iliyowasilishwa kwenye ofisi ya Katibu Mkuu , kama utaratibu wa Chadema unavyoelekeza.

Chadema iliwaelekeza wanachama wake wenye lengo la kugombea udiwani au ubunge kujaza fomu maalum ya kutia nia ya kugombea na kuiwasilisha kwenye ofisi ya Katibu Mkuu , Selasini na Mzee Lwakatare hawakujaza fomu hizi huku Lwaks akitangaza kustaafu .
Amekasirika kwasababu hajaungwa kwenye WhatsApp group la wabunge wa Chadema
 
Back
Top Bottom